Huu sio ubinadamu kabisa

Huu sio ubinadamu kabisa

Tequila sir

Member
Joined
Mar 21, 2023
Posts
43
Reaction score
43
Kuna baadhi ya watu wamekosa kabisa ubinadamu na kujiona wao ni watu waliosahihi na hawatawahi kukosea.

Ipo hivi, Kuna dogo anasoma MUST mwaka wa tatu, alijisahau akaingia na simu ndogo (kiswaswadu) kwenye chumba Cha mtihani lakini inavoonekana atafukuzwa chuo Kwa kosa la kuingia na simu ndan ya chumba Cha mtihani.

Sasa nachojiuliza hivi ni kweli binadamu wamekuwa na roho mbaya kiasi hiki ambapo simu aliyoingia nayo Haina hata uwezo wa kufungua internet Wala PDF najiuliza hata kama ni sheria hio sheria haiangalii mazingira yanayopelekea kufanyika Kwa udanganyifu kwenye mtihani .

Wakuu naomba ushauri wa kumsaidia huyu bwana mdogo kwani ni mwaka wa mwisho na alikuwa anategemewa na walezi wake ambao kiukweli Wana Hali mbaya kiuchumi.
 
Ongea na dean of students hiyo issue inaweza pata Msaada Maana kuingia na simu ni kosa so ubinadamu unabidi kutumikishana zaidi
Kuna baadhi ya watu wamekosa kabisa ubinadamu na kujiona wao ni watu waliosahihi na hawatawahi kukosea.

ipo hivi Kuna dogo anasoma Must mwaka wa tatu MUST alijisahau akaingia na simu ndogo(kiswaswadu) kweny chumba Cha mtihani lakini inavoonekana atafukuzwa chuo Kwa kosa la kuingia na simu ndan ya chumba Cha mtihani.sasa nachojiuliza hivi ni kweli binadamu wamekuwa na roho mbaya kiasi hiki ambapo simu aliyoingia nayo Haina hata uwezo wa kufungua internet Wala PDF najiuliza hata kama ni sheria hio sheria haiangalii mazingira yanayopelekea kufanyika Kwa udanganyifu kwenye mtihani

Wakuu naomba ushauri wa kumsaidia huyu bwana mdogo kwani ni mwaka wa mwisho na alikuwa anategemewa na walezi wake ambao kiukweli Wana Hali mbaya kiuchumi

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
 
Kwani mtu hawezi kuingia na simu akawa namtumia mtu wa nje maswali kisha akatumiwa majibu au kuandika majibu na kuyasave kwenye drafts upande wa sms?

Sheria ilishasema usiingie na simu wewe umeingia nayo ya nini?
Tutoe msaada wa Mawazo ili kijana arudi nyumbani na Cheti
 
Kuna baadhi ya watu wamekosa kabisa ubinadamu na kujiona wao ni watu waliosahihi na hawatawahi kukosea.

ipo hivi Kuna dogo anasoma Must mwaka wa tatu MUST alijisahau akaingia na simu ndogo(kiswaswadu) kweny chumba Cha mtihani lakini inavoonekana atafukuzwa chuo Kwa kosa la kuingia na simu ndan ya chumba Cha mtihani.sasa nachojiuliza hivi ni kweli binadamu wamekuwa na roho mbaya kiasi hiki ambapo simu aliyoingia nayo Haina hata uwezo wa kufungua internet Wala PDF najiuliza hata kama ni sheria hio sheria haiangalii mazingira yanayopelekea kufanyika Kwa udanganyifu kwenye mtihani

Wakuu naomba ushauri wa kumsaidia huyu bwana mdogo kwani ni mwaka wa mwisho na alikuwa anategemewa na walezi wake ambao kiukweli Wana Hali mbaya kiuchumi

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Kama sheria ya mtihani ni kutoingia chumba cha mtihani ukiwa na simu (zingatia neno simu lisiwe limetofautisha model za simu ama features) na wewe ukakaidi. Wewe ndiwe mwenye makosa na sio wasimamizi wa mtihani
 
So hauna mawazo mbadala Mkuu lakini kajisahau kupo katika Maisha*
Dogo Mwaka wa tatu alafu anafanya mambo kama First year.
Dogo afukuzwe, angekuwa Mwaka wa kwanza walau tungesema bado ni mdogo, lakini Mwaka wa tatu alafu anafanya vitu vya hivyo, huyo ni kubwa Jinga.
 
So hauna mawazo mbadala Mkuu lakini kajisahau kupo katika Maisha*

Hapo akajilize tuu, akalie Sana, akapige magoti Sana.
Hiyo ndio namna Bora ya Kupata msaada.
Tatizo la Ukubwa ndio hilo,
Ukishakuwa mkubwa na mzoefu alafu ukosee Watu wataona aidha haujitambui au umefanya kusudi, dharau maana hakuna ambacho hakijui huyo Dogo.

Asione kama kaonewa, kwani sheria anazijua fika. Hapo ni kuomba Radhi tuu, alie na kugaragara.
 
Duuh kwahyo akalime tu kijijni

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
hakuna namna hapo, labda aanze na serikali ya wanafunzi wa chuo

umenikumbusha kisa kimoja hivi mabibo campus
jamaa yupo room anatia msuli, akijua mtihani ni saa 8 mchana ( 08:30 hrs )
kumbe ni saa 2 asubuhi, jamaa ni disco moja kwa moja
alipiga magoti sana utawala kule, haikusaidia
 
Back
Top Bottom