Safi umeongea, hii ni soko huru( free market) anayeona inamkidhi ataenda ili aajiriwe, ambaye haoni ataachana nayo, no case thereHivi tatizo ni nini haswa? kama malipo hayakidhi si msiende huku mpaka hao Wahusika wafike bei?
Mnalalama tu mitandaoni, vipi kama Watajitokeza Wanaotaka hiyo kazi? kosa ni la nani?