Huu si unyonyaji kabisa! Hebu watafutaji wa kazi piteni hapa

Mishahara ya mashirika ya umma inapangwa na Bodi.
Kima cha chini cha mshahara wa serikali ni Tsh 300,000 mpaka sasa.
Na kima cha chini cha mshahara sekta binafsi ni Tsh 150,000 mpaka sasa.
- In short wao kama MeTL hawana kosa kisheria, kama wakikulipa zaidi basi ni BONUS tu.
- Imagine SUMA JKT Security guard ( An economic wing of JKT ) analipwa Tsh 170K/mo na Magu haoni tatizo kabisa isipokuwa ndio anafurahia kwamba ukiajiri walinzi wa SUMA JKT ni cheap.
Ndio tukome kuacha vichwa panzi watuamlie HATIMA yetu kwa kuwapa MADARAKA makubwaa hususani wanaojifanya wanajua kila kitu.
Naona umetoa povu lote mkuu
 
Hapa vipi wakuu?
IMG-20190506-WA0067.jpeg
 
Hiyo ni Gross.

Hapo hawajakata NSSF ( 10% ) ambayo kuipata mpaka ufikishe miaka 55!!

na Kodi, PAYE ( 9% ).

- Makampuni mengi huku sekta binafsi hata mikataba hawatoi ili kuepuka kulipa VAT( Maana ukiwa na permanent employees) kuanzia wanne unatakiwa kulipa VAT, kodi inaongezeka.

- Au hata ukipewa mkataba unakuwa ni mkataba-kibarua. Kupata pesa ni mpaka uwepo kazini.
Serikali ikiwabana mnasema inanyanyasa wawekezaji , wawekezaji wanakimbia
 
Nimeliona hili tangazo la kazi kwenye kampuni ya Mohammed enterprises limited company, limenifikirisha Sana, hebu angalia sifa zinazotakiwa na malipo yake ya mwezi
Mkuu..Ndg
Jiweke wewe ktk position yake (uwe muajiri) jee utatoa package Kama Swadaka..au utatazama gharama za kiwanda na Kodi na faida..
Tusiwe na haraka !!
 
Mishahara ya mashirika ya umma inapangwa na Bodi.
Kima cha chini cha mshahara wa serikali ni Tsh 300,000 mpaka sasa.
Na kima cha chini cha mshahara sekta binafsi ni Tsh 150,000 mpaka sasa.
- In short wao kama MeTL hawana kosa kisheria, kama wakikulipa zaidi basi ni BONUS tu.
- Imagine SUMA JKT Security guard ( An economic wing of JKT ) analipwa Tsh 170K/mo na Magu haoni tatizo kabisa isipokuwa ndio anafurahia kwamba ukiajiri walinzi wa SUMA JKT ni cheap.
Ndio tukome kuacha vichwa panzi watuamlie HATIMA yetu kwa kuwapa MADARAKA makubwaa hususani wanaojifanya wanajua kila kitu.

Sio kweli ulisemalo.

Mishahara hulipwa kulingana na kiwango Cha elimu.

Wanaposema kima Cha chini Ni kwa wale wasio elimu....nafikiri Ni kidato Cha nne.

Kwa mtu wa digrii ndugu mshahara unaanzia laki Saba na point huko.
 
MKUU REKEBISHA UZI WAKO HAO NI MELT NA SIO METL ACHA KUCHAFUA BRAND ZA WATU
Hata kama hivi ni kweli hujui METL anavyolipa mishahara mkuu au jeuri tu! Jaribu kutafuta Matangazo yake uone 300k kama gross wanalipwa sana tu.
 
Kuwa namawanzo ya kuajiliwa ni sydrome mbaya (ugojwa).....lini unafikili muajili wako akupe mshahara mkubwa atapata je faida?......formular ya ubepari iko hivi fanya kazi kwa masaa mengi zalisha kingi na cha ziada nakulipa tu subsistance(chakula unguo pango na nauli) ili urudi kesho surplus production yote ni faida yake.....kwa hiyo msilalamike huo ndo mfumo wa capitalism njia peke ya kuukuepa ni kujiajili ili uajili wengine ili uwanyonye upate faida kwa kutowalipa nguvu kazi yao ya ziada.
UKWELI MTUPU KIONGOZI TULIOAJIRIWA TUNAYAONA
 
Hivi tatizo ni nini haswa? kama malipo hayakidhi si msiende huku mpaka hao Wahusika wafike bei?

Mnalalama tu mitandaoni, vipi kama Watajitokeza Wanaotaka hiyo kazi? kosa ni la nani?
 
Nimeliona hili tangazo la kazi kwenye kampuni ya Mohammed enterprises limited company, limenifikirisha Sana, hebu angalia sifa zinazotakiwa na malipo yake ya mwezi
Kampuni zote za Wahindi zipo hivyo mkuu, na huko utapiga kazi kama mtumwa ila mhindi mwenzao mwenye same qualifications hulipwa vizuri yaani full kubebana. Watanzania, tunatakiwa kutoka nje ya BOX.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom