Huu si unyonyaji kabisa! Hebu watafutaji wa kazi piteni hapa

Hivi tatizo ni nini haswa? kama malipo hayakidhi si msiende huku mpaka hao Wahusika wafike bei?

Mnalalama tu mitandaoni, vipi kama Watajitokeza Wanaotaka hiyo kazi? kosa ni la nani?
Safi umeongea, hii ni soko huru( free market) anayeona inamkidhi ataenda ili aajiriwe, ambaye haoni ataachana nayo, no case there
 
Sio kweli ulisemalo.

Mishahara hulipwa kulingana na kiwango Cha elimu.

Wanaposema kima Cha chini Ni kwa wale wasio elimu....nafikiri Ni kidato Cha nne.

Kwa mtu wa digrii ndugu mshahara unaanzia laki Saba na point huko.
Na wewe umekosea kwa namna fulani! Je, endapo nimehangaika sana kutafuta kazi nikakosa pamoja na digrii yangu! Matokeo yake, nikaomba kazi ya Mhudumu wa Ofisi na nikapata! Je, nitalipwa laki 7 kwa sababu nina digrii?!

Ni kweli Mkaruka ame-genaralize sana! Kima Cha Chini ni kwa ajili ya watu wa kada fulani; kama vile wafagizi wa ofisi, wagawa chai, cleaners n.k! Hawa ndio wanalipwa hiyo 150K. Kwa Weighbridge Operator hawezi kuwa kwenye KCC, ingawaje kwa sekta binafsi, pia hawezi kuwa mbali sana na hapo kwenye +300K
 
Kajiajiri fungua business yako ili uweze kujitegemea . Kazi ya kuajiriwa yeyote maslahi ni machache
Nimeliona hili tangazo la kazi kwenye kampuni ya Mohammed enterprises limited company, limenifikirisha Sana, hebu angalia sifa zinazotakiwa na malipo yake ya mwezi
 
Iyo ni kampuni ya Mo dewji Acha unakifiki. Mshahara maamuzi ni yamwenye kampuni. Kama anasema unyonyaji akafungue business yake.
MKUU REKEBISHA UZI WAKO HAO NI MELT NA SIO METL ACHA KUCHAFUA BRAND ZA WATU
 
Na wewe umekosea kwa namna fulani! Je, endapo nimehangaika sana kutafuta kazi nikakosa pamoja na digrii yangu! Matokeo yake, nikaomba kazi ya Mhudumu wa Ofisi na nikapata! Je, nitalipwa laki 7 kwa sababu nina digrii?!

Ni kweli Mkaruka ame-genaralize sana! Kima Cha Chini ni kwa ajili ya watu wa kada fulani; kama vile wafagizi wa ofisi, wagawa chai, cleaners n.k! Hawa ndio wanalipwa hiyo 150K. Kwa Weighbridge Operator hawezi kuwa kwenye KCC, ingawaje kwa sekta binafsi, pia hawezi kuwa mbali sana na hapo kwenye +300K

Uko sahihi

Japo nilitegemea mtu mwenye digrii hawezi kuwa katibu muhtasi.
 
Sio bongo
Eti?! Yaani graduate wa Bongo hawezi kuwa Receptionist?! Sema unatania Englishlady! Hivi una habari kuna watu wame-graduate tangu 2015 na bado wapo tu mtaani; na kwa wanawake, wengine wameshakuwa single mothers na network bado hazisomi! Sasa umpe u-receptionist unadhani ataacha huyo!
 
Si bora receptionist, hata wahudumu wa ofisi wapo wenye degree.
Sasa kama degree uliyosoma hupati kazi mtu anaona bora aingie kazini kwa level hizo ndogo (receptionist, office assistant, driver, security guard) then atapanda mbele kwa mbele. Cha msingi mkono uende kinywani kwanza
Sio bongo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom