Kama huyo aliyecomment hapo juu anatapatapa tu kisa mada imemgusa.hao ni wavulana
Kama huyo aliyecomment hapo juu anatapatapa tu kisa mada imemgusa.
Hahaha...jiwe limekupata.You are total waste of oxygen a failure and a saddist, watu kama wewe mnahitaji ushauri wa kisaokolojia. Kaa na ujinga wako.
Suala si kuyapenda au kutoyapenda ila tatizo sio sawa kama mtu haukipendi kitu wewe ndio basi ndio uongee maneno yasiyofaa kwa wenzako.Wewe kama mwanaume unayapenda hayo?
Mkuu inamaana wanawake na watoto tena "watoto zaidi" wanafaa kuwekwa kwenye kundi moja? Huu ni udhalilishaji wa wanawake yaan wanawake wanaotupatia raha na utamu unawaweka level moja na watoto? Please Waombe radhi