Huu sasa ni uwendawazimu

mchemsho

JF-Expert Member
Jun 8, 2011
3,212
867
Jana sikuweza kuangalia news kutokana na pilika pilika za mjini, na usiku kama ada hatuku bahatika kupata mgao wa Jairo na Ngeleja. Nimestuka na kufadhaishwa sana baada ya kusikia redioni ETI SIMBA YATINGA BUNGENI KUTAMBULISHA NGAO YA HISANI BAADA YA KUISHINDA YANGA.

Hivi yanga si ilialikwa bungeni baada ya kushinda mashindano ya vilabu bingwa Afrika mashariki na kati na hivyo yanga iliweza kulitangaza taifa na kuiletea sifa nchi.

Hawa Simba wamefanya nn cha ajabu? Kuifunga yanga? Bunge linapoteza muda ambao lingetumia kujadili mambo ya msingi eti kwa kuwaita simba bungeni, au kwa kuwa mwenyekiti wake ni mbunge?

Siku na mimi nikioa niombe kwenda kumtambulisha mke wangu bungeni? Mh. Makinda linda hadhi ya bunge tafadhali.

​Cha ajabu ni kipi, lakini ngoja nipite kwanza hadi hapo baadae

Jana sikuweza kuangalia news kutokana na pilikapilika za mjini, na usiku kama ada hatukubahatika kupata mgao wa Jairo na Ngeleja. Nimestuka na kufadhaishwa sana baada ya kusikia redioni ETI SIMBA YATINGA BUNGENI KUTAMBULISHA NGAO YA HISANI BAADA YA KUISHINDA YANGA.! Hivi yanga si ilialikwa bungeni baada ya kushinda mashindano ya vilabu bingwa afrika mashariki na kati na hivyo yanga iliweza kulitangaza taifa na kuiletea sifa nchi. Hawa simba wamefanya nn cha ajabu? Kuifunga yanga? Bunge linapoteza muda ambao lingetumia kujadili mambo ya msingi eti kwa kuwaita simba bungeni, au kwa kuwa mwenyekiti wake ni mbunge? Siku na mimi nikioa niombe kwenda kumtambulisha mke wangu bungeni?? Mh. Makinda linda hadhi ya bunge tafadhali.

Hiyo ya kijani sio point, huo ni ushabiki wa simba na yanga, hiyo sentensi bluu ndo point, mimi huwa najiuliza, kuna wakati spika anasema hatuna muda wa kutosha kwa wachangiaji, halafu, kuna muda anatumia kutambulisha wageni hata wasio na msingi au mbuge anaanza kuwashuku, wananchi wake, mke/wake zake, dada yake, watoto wake, housegirl wake...eheeeeee...

Naona kuongezwe akanuni (kama hakuna) ya kusema mgeni akija basi akae na asikilize, no kutambulishana, na kama wanataka wawashukuru familia yao si waandae dinner majumbani kwao...

Wanaleta Usimba na Uyanga ktk maswala ya maana. Huu si upuuz.

wanajaribu kudivert attention ya watu kutoka kwenye mambo ya ufisadi....old technic

we jamaa umekosa ya kuandka kama yanga walienda na simba wameenda ss ww kina **** nini sasa fanya mambo yko bunge linaenda kwa ratiba wanajua watafidia wap

Kwa gia aliyokuja nayo bibi kiroboto ya kutowapa nafasi wabunge kuchagia hoja vizuri pale bungeni,kwa kigezo kuwa muda hautoshi wanaofuatilia bunge wataelewa ninachosema,ni jana tu Tundi Lissu katukanwa na wabunge vilaza wa znz alipoomba mwongozo wa spika alikataliwa,isitoshe kama kuna mtu mwenye mfano hai wa mabunge mengine mambo kama haya yanafanyika???kupeleka timu bungeni.

ukioa kaka ntakusindikiza kumtambulisha hy mkeo bungeni!teh teh teh hy ndo bi kiroboto.

Jana sikuweza kuangalia news kutokana na pilika pilika za mjini, na usiku kama ada hatuku bahatika kupata mgao wa Jairo na Ngeleja. Nimestuka na kufadhaishwa sana baada ya kusikia redioni ETI SIMBA YATINGA BUNGENI KUTAMBULISHA NGAO YA HISANI BAADA YA KUISHINDA YANGA.

Hivi yanga si ilialikwa bungeni baada ya kushinda mashindano ya vilabu bingwa Afrika mashariki na kati na hivyo yanga iliweza kulitangaza taifa na kuiletea sifa nchi.

Hawa Simba wamefanya nn cha ajabu? Kuifunga yanga? Bunge linapoteza muda ambao lingetumia kujadili mambo ya msingi eti kwa kuwaita simba bungeni, au kwa kuwa mwenyekiti wake ni mbunge?

Siku na mimi nikioa niombe kwenda kumtambulisha mke wangu bungeni? Mh. Makinda linda hadhi ya bunge tafadhali.

Bunge hili ni ze komedi tosha

walienda kusawazisha mambo. Kwa mtazamo wa waliowaalika kombe la Kagame ni sawa na ngao ya hisani

Back
Top Bottom