Huu sasa ni mtihani

Hata demu sina mkuu hata mda wa kutongoza sina c unajua vijana waliokulia dini nadhani unaelewa,nikiwa na mda ni mzaoezini na church
Kwani Kanisani Hakuna dada mwenye tabia nzuri, hakuna dada anayejiheshimu, hakuna dada anayefanya kazi kwa bidii, hakuna dada aliye na heshima kwa watu wazima na watu wote, hakuna dada mcha Mungu, HAKUNA dada UNAYEVUTIWA naye?
 
Sijaona mkuu,hata kazini kwangu bado nawaona wakawaida tu
 
Una miaka 26 unaandika xhule, xana...kudadeki
 
Ukaona ni useng£ [emoji23][emoji23][emoji23][emoji38]
 
Hata demu sina mkuu hata mda wa kutongoza sina c unajua vijana waliokulia dini nadhani unaelewa,nikiwa na mda ni mzaoezini na church

Ulikulia kwenye malezi bora ya dini ya kikristo halafu baba yako alikuwa na wake wanne?.. we endelea kutupumbaza tu
 
Huwezi kuelewa,na hutanielewa labda wenye akili watakuelewasha,kuna ukristo na uslamu.dadavua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…