Huu niliofanyiwa sio utapeli?

Wewe n mpuuzi
 
Nyie washamba wa chimbotela, na badoooh mtachunwa hadi akili mxieeeeeeew
 
Kweli uko kwenu kunawachuna Ngozi na wanyonya Damu...

Sio utapeli, ni mchango wa form za watia Nia
 
Nami Niko mbeya... Kisa chako Kama changu mkuu. mabint wa kyela mtihani mtupu. Yashanikuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…