Freightliner
JF-Expert Member
- Aug 22, 2013
- 720
- 528
- Thread starter
- #41
Wanaume tumeumbwa matesoKwani wewe huna ndugu wa kusaidia?!
Au mbuda ni priority
Na utachunwa mpaka ngozi
Wanaume tumeumbwa matesoKwani wewe huna ndugu wa kusaidia?!
Au mbuda ni priority
Na utachunwa mpaka ngozi
KalaghabaoWatu kama nyie zamani tulikua tunawaita BWEGE MTOZENI siku hizi sijui mnaitwaje?
Alafu sasa kwenda kwa mwakyembe kule bado anataka nifanye miamalaHuo ni ujuha sio utapeli.
Kwa kweli nilikuwa falaHuo ni ujuha sio utapeli.
kirahisi rahisi tu
ila kama wewe hujawahi onga utakuwa na ujizi kidogoFwalala wew
Mapema tuKirahisi rahisi kapewa ama hajapewa?
Wewe n mpuuziSiku moja wikiendi nilitembelewa na rafiki yangu hapa mjini Mbeya akitokea wilaya ya Mwakyembe huko tukakubaliana tukutane Kiwanja kimoja hapa mjini kinaitwa Mwailubi.
Lakini huyu rafiki alikuja na rafiki pia, tukakaa pale tukitupia moja baridi moja moto kifupi tulikuwa tunalipa kodi ya nchi. Huyu rafiki wa rafiki wangu ni mzuri sana basi nikaomba namba pale nikasepa kiutuuzima tukaanzisha mapenzi.
Kama unavyojua mapenzi lazima utagharamia na nilimgharamia hadi anavyoondoka kurudi kwa Mwakyembe. Alipokuwa kule pia ile mipigo kama kawaida hadi birthday ya mwanae ananambia kidume najitoa.
Juzi kati sasa kanambia nitumie nauli nije mjini, kidume nikatuma. Aisee alichofanya akaja mjini bila taarifa akanambia siko mjini kesho yake anasema niko mjini. Kumuuliza umekuja lini anasema ana siku kadhaa.
Nikamwambia haya basi tuonane akajibu ngoja nijiandae. Kidume najipa moyo hadi usiku unaingia kimya. Kumuuliza eti naumwa nitumie hela ya hospitali nikamwambia kesho.
Hiyo kesho ananambia karudi kwa Mwakyembe alizidiwa sana, hapa aliona atamtesa rafiki yake wa kufikia ila bado anataka nimpe hela.
Huu si utapeli huu?
Nalegeza natiNakazia
Nami Niko mbeya... Kisa chako Kama changu mkuu. mabint wa kyela mtihani mtupu. YashanikutaSiku moja wikiendi nilitembelewa na rafiki yangu hapa mjini Mbeya akitokea wilaya ya Mwakyembe huko tukakubaliana tukutane Kiwanja kimoja hapa mjini kinaitwa Mwailubi.
Lakini huyu rafiki alikuja na rafiki pia, tukakaa pale tukitupia moja baridi moja moto kifupi tulikuwa tunalipa kodi ya nchi. Huyu rafiki wa rafiki wangu ni mzuri sana basi nikaomba namba pale nikasepa kiutuuzima tukaanzisha mapenzi.
Kama unavyojua mapenzi lazima utagharamia na nilimgharamia hadi anavyoondoka kurudi kwa Mwakyembe. Alipokuwa kule pia ile mipigo kama kawaida hadi birthday ya mwanae ananambia kidume najitoa.
Juzi kati sasa kanambia nitumie nauli nije mjini, kidume nikatuma. Aisee alichofanya akaja mjini bila taarifa akanambia siko mjini kesho yake anasema niko mjini. Kumuuliza umekuja lini anasema ana siku kadhaa.
Nikamwambia haya basi tuonane akajibu ngoja nijiandae. Kidume najipa moyo hadi usiku unaingia kimya. Kumuuliza eti naumwa nitumie hela ya hospitali nikamwambia kesho.
Hiyo kesho ananambia karudi kwa Mwakyembe alizidiwa sana, hapa aliona atamtesa rafiki yake wa kufikia ila bado anataka nimpe hela.
Huu si utapeli huu?
Kama ndio ivi nadhani tutakuwa tumeshea huyu mwanamke ila ana macho mazuri sana na kishape flani iviNami Niko mbeya... Kisa chako Kama changu mkuu. mabint wa kyela mtihani mtupu. Yashanikuta
Nimeamini huyu ni Mwana CCM kindaki ndakiKweli uko kwenu kunawachuna Ngozi na wanyonya Damu...
Sio utapeli, ni mchango wa form za watia Nia