kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,896
Watu kama nyie zamani tulikua tunawaita BWEGE MTOZENI siku hizi sijui mnaitwaje?
18yearsUmri wako tafadhali
MapenziJinga kabisaa wewe.
Itakuwa hayajawakutaWananzengo mbona karibia wote mnamng'akia muanzisha uzi!?[SUP]😀😀😀[/SUP]
kirahisi rahisi tuLakini si kashawahi kukupa mchezo?
Ndio nimeamini ule msemo wa gwiji kwamba demu wako akiuza wenzie zinduka nae analiwaWewe ni fualaaaaaaaaa wa 2020.
Na huyoo best yakoo muangalie sana. Atakuwa kama ana mchezo flanii hivii
Kwa kweli tukuyu alishawahi kunipakirahisi rahisi tu
Ni Mkubwa kiasi naweza kuwa hata mbunge Wa JMTUmri wako tafadhali
Kama ni hivo piga chini tuu!!Kwa kweli tukuyu alishawahi kunipa
Leo nimemwambia akae kushotoKama ni hivo piga chini tuu!!