hahahahah sio ule wa kutoa kafara mkuu
Huo wa kumfumania mtu unamtumia radi au sijui umegombana na mtu unamlima radi
Ningewaona wa maana kama wangekuwa na dawa zakuwapa nguvu walime mashamba makubwa ya kilimo au walete mvua sehem kame mazao yawe mengi
Hapana huu ni wa kule kwenu kabisa tena hapo wala hujasingiziwa
Hakuna uchawi wowote, wala hayo maji hayajainuliwa kihivyo, hiyo ni fix tuu inayofanywa kwenye photographing.
Pasco
Your Honour!!! Can you prove it without reasonable doubt ?
Yes kila kith kinawezekana, ila hiyo picha ni fix tuu.Mkuu kuna jamaa anaitwa Pasco ulishawahi kusoma uzi wake? Hii inawezekana kabisa
I can i have your birth certificate in my hands inayosema wewe ni wa kule kule mwisho wa reli mkuu Tized
Saluted Kaka. tafadhali ifiche nsije kosa nchumba apa. cc miss chagga
Yes kila kith kinawezekana, ila hiyo picha ni fix tuu.
Pasco
sijasema haliwezekani, nimesema hiyo picha ni fix!. Wako watu watembea hewani, juu ya maji, hadi juu ya moto!.Mimi naamimini kwa kuamini kidhati unaweza kutembea juu ya bahari, kwanini hii isiwezekane?
Upo.......View attachment 142688 kuna uchawi zaidi ya huu???
sijasema haliwezekani, nimesema hiyo picha ni fix!. Wako watu watembea hewani, juu ya maji, hadi juu ya moto!.
Pasco
tanzania =tized
sijasema haliwezekani, nimesema hiyo picha ni fix!. Wako watu watembea hewani, juu ya maji, hadi juu ya moto!.
Pasco
Pamoja mkuu, Cc Mndengereko
upi.......?Upo.......
Hakuna uchawi wowote, wala hayo maji hayajainuliwa kihivyo, hiyo ni fix tuu inayofanywa kwenye photographing.
Pasco