Huu ni ustaarabu?

Ngoja nikajisajili jukwaa la wakubwa leo naona hapa hakuna jipya, majibu haya yapo toka SAPs imeingia. PakaJimmy leo huna kali kama ya jana?
 
Ngoja nikajisajili jukwaa la wakubwa leo naona hapa hakuna jipya, majibu haya yapo toka SAPs imeingia. PakaJimmy leo huna kali kama ya jana?
ICU za dizaini ile huwa zina kuwa released kwa muda mwafaka
today is not the day for such things........
 
ICU za dizaini ile huwa zina kuwa released kwa muda mwafaka
today is not the day for such things........
Kumbe, basi leo kuko cool kweli huku jamvini nimetafuta pa kukaa nitulie lakini hakuna kabisa.......nway its weekend
 
Ustaarabu kazi sana,vipi kama alikua anamuokoa kwenye hatari fulani?

Watu bwana!Nadhani ni malezi,mazingira na ukosefu wa maadili tu au inategemea pia kama jamaa alikua amejiweka katika mazingira ya kudhalilishwa
 
Ni ya zamani sana enzi zile ukikutana na mtu barabarani unataka kujirusha, sile siku vijana walipenda kumsimamisha mdada kwa kupiga siksiiiiiiiiii nadhani siku hizi hayo mambo hata wadogo zetu hawanayo tena!
 
1.Mwanamke unapokutana na mwanamme na majibu yako yakawa hivi
mme--- Sister hujambo?.......majibu..sijajxxxxxba nikijxxxba nitakuambia
unaelekea wapi mrembo?......majibu....ukubwani
Unaitwa nani?...........majibu........sinajina
unakaa wapi?.........majibu........kwenye kiti
mbona majibu ya mkato mwenzangu? ......majibu...mwenzio unae kwenye chuxxxpx.....je huo ni ustaarabu?
2. Mwanamme ukijibiwa nyodo/utumbo kama huo unachukua hatua gani?

You should have gotten the message with the first answer....loud and clear. Mbona na wewe ukaendelea kuuliza maswali?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom