Huu ni ustaarabu?

Tall

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
1,425
165
1.Mwanamke unapokutana na mwanamme na majibu yako yakawa hivi
mme--- Sister hujambo?.......majibu..sijajxxxxxba nikijxxxba nitakuambia
unaelekea wapi mrembo?......majibu....ukubwani
Unaitwa nani?...........majibu........sinajina
unakaa wapi?.........majibu........kwenye kiti
mbona majibu ya mkato mwenzangu? ......majibu...mwenzio unae kwenye chuxxxpx.....je huo ni ustaarabu?
2. Mwanamme ukijibiwa nyodo/utumbo kama huo unachukua hatua gani?
 
what was your intetion of asking her all these questions ...

Kama ulipata jibu la kwanza tu lilitosha kuachana nae bana na kum delete kichwani kwako bana.., hakuwa na time huyo,

Kazi ya hasara, hulipwa kwa hasara...sio wote walizaliwa wastaarabu na si wote unaodhani ni wastaarabu ni hivyo kila siku na kwa kila mtu.

She was smart enough to show her bad behaviour at the first instance before yo get to know her kuliko wale ambao wangekuficha hata majina yao ukalika zaidi na zaidi na zaidi kwa kuhisi ni wastaarabu.

Wapo wengi wa mtindo huo ni sawa na wale wanaokaa kimya tu pasi kujibu neno,
 
1.Mwanamke unapokutana na mwanamme na majibu yako yakawa hivi
mme--- Sister hujambo?.......majibu..sijajxxxxxba nikijxxxba nitakuambia
unaelekea wapi mrembo?......majibu....ukubwani
Unaitwa nani?...........majibu........sinajina
unakaa wapi?.........majibu........kwenye kiti
mbona majibu ya mkato mwenzangu? ......majibu...mwenzio unae kwenye chuxxxpx.....je huo ni ustaarabu?
2. Mwanamme ukijibiwa nyodo/utumbo kama huo unachukua hatua gani?

Tatizo lako unafuata watoto uswahili, halafu domo lako limejaa maji. Unadhani utafanikiwa kweli? ndo maswali gani ya kuuliza binti hayo. Yaani unadhani kwa kumuuliza maswali mengi ndo ataingia line??
Hatufanyi hivyo siku hizi bwana, waulize wataalamu wakupe daduu rejea.
 
duuuuuuuuu,kweli cha mtu mavi.
 
Majibu ya wauza kahawa mtaani hayo na wasichana ambao hawakuona darasa hata la 7B!
Bora ukoma kuliko wapumbavu wa hivyo.
Lakini kama weye jibu la kwanza umejibiwa bovu namna hiyo, unakuwa na moyo gani kuendelea kubembeleza mkuu?.
 
1.mwanamke unapokutana na mwanamme na majibu yako yakawa hivi
mme--- sister hujambo?.......majibu..sijajxxxxxba nikijxxxba nitakuambia
unaelekea wapi mrembo?......majibu....ukubwani
unaitwa nani?...........majibu........sinajina
unakaa wapi?.........majibu........kwenye kiti
mbona majibu ya mkato mwenzangu? ......majibu...mwenzio unae kwenye chuxxxpx.....je huo ni ustaarabu?
2. Mwanamme ukijibiwa nyodo/utumbo kama huo unachukua hatua gani?

unalia...:(
 
sikuhizi salam zinatafutwa mkuu, watu wapo kibiashara zaidi.akikujibu namna si atakuwa kaharibu dili hahaaa
 
Simply put: umeingia choo cha wanawake. Toka tafuta cha wanaume. Hata hivyo napenda kuamini kuwa approach unayotumia kuwasiliana na hawa dada zetu kwa nia chanya kabisa ita dertermine majibu utakayopokea. Be careful how, when and what you say! unajua wengine wakiwa kwenye hedhi wanakuwa mbogo. Ukihisi jambo kama hili tu kumbuka umeingia choo cha wanawake , tok tafuta cha wanaume!
 
akinipa tu lile jibu la kwanza basi naachana nae! sipotezi muda....
 
Kwanza wadada wenyewe wa siku hizi wanajifanya kuwa wako ki-enterpreneur zaidi....unakwenda straight kwenye lengo kuu sio mambo ya kuulizana majina na mitaa lazima wakunyee majibu ya hovyo!!..Pole mkuu usijali jipange upya nadhani umeshapata mbili tatu za kuanzia next time!!! kosa mara moja!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom