Huu ni ushenzi uliopitiliza

aise inatisha sana!
ahsante kwa taarifa kwakua tayari mnaelewa hiyo hali basi mnapaswa kulifikisha suala hilo kwa wahusika ili likomeshwe.chukueni hatua sasa!ongoza kazi hiyo kusaidia jamii.
 
Umejuwaje?

Swali zuri sana.Lakini kama ni kweli basi binadamu tunampa sana stress shetani. Yeye yuko busy na vijana wake wana-design dhambi mpya,kumbe binadamu tayari wanazo kali zaidi tena ziko kwenye dijitali sio analojia!!!
 

Kichefuchefu
 
Unaishi mtaa gani?

Maana naona kila siku lazima utudokeze habari za mtaani kwenu...
 
Huyo mdogo mtu ndio wa kulaumiwa kwani alibakwa? Au yy ndio alianza kukaa uchi mbele ya shemeji yake
 
kaka mtaa wenu una vituko sana ?ivi ile issue ya kumbana kale kabint ukutani iliishaje?sijaona mrejesho!
 
kaka mtaa wenu una vituko sana ?ivi ile issue ya kumbana kale kabint ukutani iliishaje?sijaona mrejesho!

vipimo viliprove wrong mbaya wangu saivi ananiita mkwe, mtaani kwetu vituko haviishi, naishi karibu kabisa na uwanja wa fisi manzese, wazee wangu tandale, ankel kwa mfugambwa manzese karibu na lambo bar, mamdogo tandika
 

Mkuu kakuambia utangazeee?wabongo bana fanyeni yenu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…