mshana kazi yangu ni ulinzi/sungu sungu ukipenda, kulala si moja ya majukumu yangu ya kazi...nimekuelewa...ila nasungumzia seniority mr. Kuna mambo ambayo mtu mzima, mathalan mwenye midevu ukikuta ananung'unika (bila kujali kutukia ama kutotukia kwake) ni lazima uwaze kwa sauti.. Kama waliotafunwa ni wakubwa kiumri achana nao, ni kihere here chao! Ni mambo yao binafsi, tukitumia muda mrefu kumnanga jamaa haibadilishi ukweli kwamba alitembea na ndugu wawili!
Loading. ...........network failed
majengo mtaa wa saba
ni member mzuri tu mwallu fuatilia michango utambaini
Jamaa mmoja hapa mtaani kwetu anakula dada mtu na mdogo wake wa kiume, huu ni udhalilishaji wa aina yake kwa mkewe na familia nzima, hata kama shemeji yako ana tabia za kishoga huwezi kutembea naye wakati dadaake ndio mke wako wa ndoa! Huu ni ufirauni uliopitiliza
jaman hata mi nakumic sanaaa leo lazma nije kucheza kwenuuuHivi nlishakuambia navokumisi?
mie nagombea kabila jingine.