Huu ni ushamba na ulimbukeni wa kisiasa

Huu ni ushamba na ulimbukeni wa kisiasa

Upuuzi unao wewe mpuuzi mkubwa wananchi wameamua wapi? acha kuwasingizia wananchi uongo
We punguani usiekuwa na akili kwani Oktoba 28 tulifanya nini? Tulifanya maamuzi kwa ajili ya taifa letu. Msituletee upuuzi wenu.
 
Usitufokee, tumeipenda wenyewe na tumeichagua wenyewe. CCM yetu mbele kwa mbele. Mtakufa kwa kihoro sye kazi tu kwa kwenda mbele.
Wahenga walisema "Jogoo La Shamba Haliwiki Mjini "

- mtu wa kijijini aletwapo mjini shida kubwa sana hutokea !

- Just imagine ndege 11 cash money ?? Kama ni Utalii, kwa nini hoteli zinageuzwa Hostel ?

- Ushamba ni Shida Ya Zama Zote Ndugu Watanzania !
 
Wasaka uteuzi wameamua kutetea upumbavu unaofanywa na waliopewa dhamana wakidhani watanzania ni wajinga kiasi hicho hawajui changamoto za uwekezaji Tanzania
Ngonjera za kipumbavu,uteuzi.... Wawekezaji ni wajinga na washabiki wa Chadema iliyoshindwa!
 
Mleta mada huna tofauti na mtu aliyetoka na mke wa mtu kwa lengo la kufanya mapenzi pamoja na kwamba mpo sehem salama na mnakula hilo tunda hamuishi kustuka hata kunguru akitua juu ya bati, hata mhudumu wa lodge akigonga mlango kwa nia njema lakini lazima mstuke mnasahau kama mlimtuma chakula maana ya hii ni kwamba hauwezi kuwa huru kama hukutenda haki kwani waweza kimbia hata kivuli chako.

Kuna wakati utasikia wakuu wa vyombo vya dola wakisema watanzania waendelee na shughuli zao kwani nchi ipo salama! Sasa najiuliza ni lini watz waliacha shughuli zao?
 
Mifano ya kipumbavu wapelekee wapumbavu wenzako
 
Mbona mnakuwa na vichwa vigumu na kushupaza shingo? Mnataka nini kwa watanzania?

Baada ya kubwagwa chini, mlikuja na gea la ICC likabuma, Watanzania wanaendelea na shughuli zao hata hawana habari na nyie.

Samahani, mlianza na gea la kutulazimisha tuingie mitaani kuandamana eti uchaguzi haukua huru na wa haki. Watanzania wakawapuuza, sababu ni kuwa hawawataki maana nyie ni matapeli wa kisiasa na wachumia matumbo.

Sasa hivi mmeibuka na propaganda za kishamba na kipuuzi. Mnaeneza uongo kwenye mitandao, eti hapa Tanzania sera sio rafiki kwa wawekezaji nia yenu kubwa tu ni kuonyesha kuwa serikali ya awamu ya tano haifai na haitoi support kwa sekta binafsi.

Hivi mnatulazimisha tuwakubali? Kama tuliwakataa toka tulipowabaini nyie ni waganga njaa ndio hizi propaganda mfu zitawasaidia?

Mnataka nini na Tanzania yetu,kama hamtaki kuishi hapa Bongoland ondokeni muende ughaibuni mkaungane na wenzenu tuachieni nchi yetu. Sio kuwa mnaleta siasa za kishamba wakati watanzania hawawataki.

N.B: Kwani lazima watanzania wachague wabunge wa Chadema?
Tuliza jazba mkuu. Nchi hii ni yetu wote. Hakuna mwenye hati milki. Hakuna atakaye kubali hili. Wote tuna haki sawa ya kuchagua na kuchaguliwa katika uwanja ulio sawa. Mazingira yaliyopo siyo ya haki sawa kwa wote. Mlioiko madarakani munang'ang'ania nafasi hiyo kwa kutumia hila, wizi, na mabavu ya dola bila kificho na kwa kujigamba sana. Mnatushurutisha kunyamaza na tutulie (Amani) huku mnatuumiza. Tukilalamika mnatuambia tuhame nchi. Hatuhami. Tutabanana hapahapa. Kwa hali hiyo jiandaeni kupanua magereza ili mtawale wafungwa.
 
We punguani usiekuwa na akili kwani Oktoba 28 tulifanya nini? Tulifanya maamuzi kwa ajili ya taifa letu. Msituletee upuuzi wenu.
Wewe mbumbumbu mbweha mkubwa upuuzi unao wewe acha ufala wako, mlifanya maamuzi na nani kwa Taifa lipi? au Taifa lako binafsi unaposhinda ukivuta Bangi?
 
Tuliza jazba mkuu. Nchi hii ni yetu wote. Hakuna mwenye hati milki. Hakuna atakaye kubali hili. Wote tuna haki sawa ya kuchagua na kuchaguliwa katika uwanja ulio sawa. Mazingira yaliyopo siyo ya haki sawa kwa wote. Mlioiko madarakani munang'ang'ania nafasi hiyo kwa kutumia hila, wizi, na mabavu ya dola bila kificho na kwa kujigamba sana. Mnatushurutisha kunyamaza na tutulie (Amani) huku mnatuumiza. Tukilalamika mnatuambia tuhame nchi. Hatuhami. Tutabanana hapahapa. Kwa hali hiyo jiandaeni kupanua magereza ili mtawale wafungwa.
Tanzania hakukuwa na uchaguzi kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani kwa msaada wa NECCCM Tumeccm wakurugenziccm na Polisiccm vyombo binafsi mali za CCM
 
Mimi silambi miguu ya mtu. Nasema kweli na hili jukwaa huru la kutoa maoni we bwege.
Wewe ukimaliza kuvuta Bangi hulamba miguu ya polepole Ndungai na wengine kwa sasa unasaka uteuzi kwa kila hali upo tayari hata kutoa chochote ili mradi upate uteuzi, hapo ulipo Akili zote zimejaa moshi ya Bangi umejitoa fahamu zote
 
Nakujua vizuri bichwa maji,huna hoja zaidi ya upuuzi.
 
Wewe bwege umetokea wapi na kudandia mada zilizo nje ya uwezo wako?
Mi nikiwa bwege basi wewe utakuwa fisi, maana palipo na mnyama mfu ndipo fisi wakusanyikapo nikimaanisha kuishabikia CCM na utawala wake ni sawa na fisi walokusanyika kusibiri minofu ya mnyama mfu
 
Back
Top Bottom