Mmewaibia sana pesa zao kwa kutumia Lugha ya kuwa mchakato unaendelea wengi huliwa mpaka mitaji yao na mwizi mkuu ni wewe na wenzakoUongo mtupu, hapa Tanzania mazingira ya uwekezaji ni mazuri na rafiki wala hakuna muwekezaji anadhulumiwa.
Mmewaibia sana pesa zao kwa kutumia Lugha ya kuwa mchakato unaendelea wengi huliwa mpaka mitaji yao na mwizi mkuu ni wewe na wenzakoUongo mtupu, hapa Tanzania mazingira ya uwekezaji ni mazuri na rafiki wala hakuna muwekezaji anadhulumiwa.
Watanzania wa wapi wameichagua ccm? anayeumia ni ccm kwa kukosa misaada maana Bunge halina upinzani wameamua kuwanunua covid 19 lakini dili limebuma sasa watajaribu kurudia uchaguzi ndogo kisha kuwapa wapinzani kizushi zushi ili wapate misaada ya mabeberuAhaaa,najua mnaumia sana lakini ndio imeshatoka. Watanzania tumeshachagua. Chadema imefutika kabisa kama ilivyotabiriwa.
Misaada gani inakosekana? Chaguzi ndogo zitarudiwa wapi kuna magap? Huna akili we ushuzi.Watanzania wa wapi wameichagua ccm? anayeumia ni ccm kwa kukosa misaada maana Bunge halina upinzani wameamua kuwanunua covid 19 lakini dili limebuma sasa watajaribu kurudia uchaguzi ndogo kisha kuwapa wapinzani kizushi zushi ili wapate misaada ya mabeberu
Akili uliyokuwa nayo wewe ni ipi? Kuwasingizia watanzania kuichagua CCM ndiyo Akili?Misaada gani inakosekana? Chaguzi ndogo zitarudiwa wapi kuna magap? Huna akili we ushuzi.
Watanzania wenye akili tumeichagua Ccm.Akili uliyokuwa nayo wewe ni ipi? Kuwasingizia watanzania kuichagua CCM ndiyo Akili?
Uchaguzi upi? Wapi? Maana Tanzania hakukuwa na uchaguzi zaidi ya maigizoWatanzania wenye akili tumeichagua Ccm.
Usiniletee ngonjera,kajambe ushuzi.Uchaguzi upi? Wapi? Maana Tanzania hakukuwa na uchaguzi zaidi ya maigizo
Wewe ukimaliza kuota kaharishe kwanza, huna unachosema. Akili sijui umesahau wapi mpaka buku saba zikutese hiviMbona mnakuwa na vichwa vigumu na kushupaza shingo? Mnataka nini kwa watanzania?
Baada ya kubwagwa chini, mlikuja na gea la ICC likabuma, Watanzania wanaendelea na shughuli zao hata hawana habari na nyie.
Samahani, mlianza na gea la kutulazimisha tuingie mitaani kuandamana eti uchaguzi haukua huru na wa haki. Watanzania wakawapuuza, sababu ni kuwa hawawataki maana nyie ni matapeli wa kisiasa na wachumia matumbo.
Sasa hivi mmeibuka na propaganda za kishamba na kipuuzi. Mnaeneza uongo kwenye mitandao, eti hapa Tanzania sera sio rafiki kwa wawekezaji nia yenu kubwa tu ni kuonyesha kuwa serikali ya awamu ya tano haifai na haitoi support kwa sekta binafsi.
Hivi mnatulazimisha tuwakubali? Kama tuliwakataa toka tulipowabaini nyie ni waganga njaa ndio hizi propaganda mfu zitawasaidia?
Mnataka nini na Tanzania yetu,kama hamtaki kuishi hapa Bongoland ondokeni muende ughaibuni mkaungane na wenzenu tuachieni nchi yetu. Sio kuwa mnaleta siasa za kishamba wakati watanzania hawawataki.
N.B: Kwani lazima watanzania wachague wabunge wa Chadema?
Wewe bwege umetokea wapi na kudandia mada zilizo nje ya uwezo wako?Wewe kinakuuma nini,kama nchi inaendeshwa kwa misingi ya usawa na haki?.
Kama ni wawekesaji pia wana macho na akili ya kuchambua ngano na pumba,haupaswi kuwa na hofu kiasi hicho.
Hofu yako inanithibitishia kuwa hakuna usawa wala haki katika nchi yetu
Wapuuzi namba 1ni nyinyi na tem chattell mnaalazimisha kina mdee wawe wabunge ili serikali ipate misaada nasema kwa hili big noooo pambaneni na hali yenu malimbukeni wa madalaka nyinyi awamu hii hakuna waunga juhudi mpo nyinyi tuu mtamdangaya nani tena .Nani anataka wapuuzi kama wewe waingie bungeni.
Misaadaa! Pumbavu.Wapuuzi namba 1ni nyinyi na tem chattell mnaalazimisha kina mdee wawe wabunge ili serikali ipate misaada nasema kwa hili big noooo pambaneni na hali yenu malimbukeni wa madalaka nyinyi awamu hii hakuna waunga juhudi mpo nyinyi tuu mtamdangaya nani tena .
Mpumbavu Wewe mlamba miguu ya jiwe mwenzenu anapiga mipesa anajenga migorofa nyinyi kazi kuimba nyimbo za mapambio nyorokoMisaadaa! Pumbavu.
CHAGU WA MALUNDE kuna kitu hujakifahamu kwenye serikali hii, ndio maana unaropoka ropoka... Jiulize kwa nini Spika Ndigai anang'ang'ania ATAWALINDA kwa nguvu zote wabunge 19 waliotemwa CDM, ukifikiri kwa kina utagundua wadau wanachokwambia. Hakuna asieipenda nchi yake bro, ila try to THINK things in detail, sio kushabikia shabikia mambo ya kipuuzi.Misaadaa! Pumbavu.
Upuuzi unao wewe mpuuzi mkubwa wananchi wameamua wapi? acha kuwasingizia wananchi uongoKuna upinzani hapa Tz kwa sasa? Hakuna mtu aliyepora,wananchi wameamua hivyo. Hoja hapa ni kuwa muache upuuzi wa kuzua uongo kwenye mitandao ili kuchafua nchi yetu.
BOT wanawapora pesa zao kuna mateso makubwa kwa wawekezaji Tanzania kuliko inavyofikiriwaSasa kwani uongo wao nyie mnateseka nao wa nini si mlete wawekezaji wa kumwaga ili muwafunge mudomo?
Mleta mada anasaka uteuzi kwa njia haramu za kishetani ndiyo maana kajitoa fahamu kaamua kuutetea unyanyasaji unyama wote wa CCM kwa wawekezajiCHAGU WA MALUNDE kuna kitu hujakifahamu kwenye serikali hii, ndio maana unaropoka ropoka... Jiulize kwa nini Spika Ndigai anang'ang'ania ATAWALINDA kwa nguvu zote wabunge 19 waliotemwa CDM, ukifikiri kwa kina utagundua wadau wanachokwambia. Hakuna asieipenda nchi yake bro, ila try to THINK things in detail, sio kushabikia shabikia mambo ya kipuuzi.