Huu ni ushamba na ulimbukeni wa kisiasa

Huu ni ushamba na ulimbukeni wa kisiasa

Kisha yule mwalimu akasema.... Embu tuliza kaubongo kako kasichojaa kijiko chachai kisha jiulize!!
kwanini viwanda havizinduliwi kwafujo sikuhizi?
Kiwanda gani kikubwa kimefunguliwa toka 2015?
Zao gani la biashara tuna export? Kuna wafanyabiashara gani wazawa wameibuka toka 2020? ajira hasa za kudumu vipi zipo? Mikutano ya wawekezaji umeskia? Kuna chuo cha elimu yajuu kimeongezeka?
Biashara ngapi kubwa zimefungwa? Soko la hisa dar limekuwa vyema? Mabenki/huduma za fedha zimekuwa kwakasi?
Elimu hasa ya ufundi imeboreshwa? Magonjwa/wagonjwa wamepungua?
Watz wanafurahia hali zao za maisha?
demokrasia na haki zinapatikana?
wafanyakazi wanaruhusiwa kudai/ kugoma ama kuandamana? tunauhuru bila vitisho? Tunachaguzi huru natume huru? Tunataasisi imara zisizopangiwa chakufanya?
Serikali ikowazi na shirikishi? ...nk.
Ama tumekalia kukusanya na ujenzi kutwa kucha...
Jiulize na ujijibu kama mtu mzima mwenyeubongo kama ngumi yako.
 
Mnalazimisha mpaka wapinga maendeleo wawemo bungeni kwanini? Wewe utopolo wa buswelu hebu tujibu
 
Utapata pressure bure!Kama mlidhani tutakaa kimya sahauni,jiandaeni tu kisaikolojia tu maana miaka hii mitano tutaendelea kuwachapa sindano za moto!
 
Mimi nahisi anayeweweseka ni CCM zaidi.Serikali za mitaa zote zipo chini yake,bunge 99%,bado mnaibua hoja ndogondogo mitandaoni!!
Mkuu, kwani MCHAWI huwa ana sababu? Wamesharoga, lakini bado hawajaridhika!
 
N.B. Kwani lazima CCM mlazimishe ushindi kwa kura feki?!

Siku zote una akili ya kuku.
 
Umeandika vyema Sana
Lakini awamu ya tano bado inamengi ya kusifu kuliko kuponda japo kuponda ponda ni vizuri kwa afya ya utawala Bora

Hii nchi ilikuwa chafu Sana , tumiache huyu mzee apige kazi , akimaliza hayo madogo madogo yatakuwa on point very soon
Kurekebisha ni rahisi kuliko Kujenga
JPM anajenga , watakuja wataorekebisha

Kisha yule mwalimu akasema.... Embu tuliza kaubongo kako kasichojaa kijiko chachai kisha jiulize!!
kwanini viwanda havizinduliwi kwafujo sikuhizi?
Kiwanda gani kikubwa kimefunguliwa toka 2015?
Zao gani la biashara tuna export? Kuna wafanyabiashara gani wazawa wameibuka toka 2020? ajira hasa za kudumu vipi zipo? Mikutano ya wawekezaji umeskia? Kuna chuo cha elimu yajuu kimeongezeka?
Biashara ngapi kubwa zimefungwa? Soko la hisa dar limekuwa vyema? Mabenki/huduma za fedha zimekuwa kwakasi?
Elimu hasa ya ufundi imeboreshwa? Magonjwa/wagonjwa wamepungua?
Watz wanafurahia hali zao za maisha?
demokrasia na haki zinapatikana?
wafanyakazi wanaruhusiwa kudai/ kugoma ama kuandamana? tunauhuru bila vitisho? Tunachaguzi huru natume huru? Tunataasisi imara zisizopangiwa chakufanya?
Serikali ikowazi na shirikishi? ...nk.
Ama tumekalia kukusanya na ujenzi kutwa kucha...
Jiulize na ujijibu kama mtu mzima mwenyeubongo kama ngumi yako.
 
Mbona mnakuwa na vichwa vigumu na kushupaza shingo? Mnataka nini kwa watanzania?

Baada ya kubwagwa chini, mlikuja na gea la ICC likabuma, watanzania wanaendelea na shughuli zao hata hawana habari na nyie.

Samahani, mlianza na gea la kutulazimisha tuingie mitaani kuandamana eti uchaguzi haukua huru na wa haki. Watanzania wakawapuuza, sababu ni kuwa hawawataki maana nyie ni matapeli wa kisiasa na wachumia matumbo.

Sasa hivi mmeibuka na propaganda za kishamba na kipuuzi. Mnaeneza uongo kwenye mitandao, eti hapa Tanzania sera sio rafiki kwa wawekezaji nia yenu kubwa tu ni kuonyesha kuwa serikali ya awamu ya tano haifai na haitoi support kwa sekta binafsi.

Hivi mnatulazimisha tuwakubali? Kama tuliwakataa toka tulipowabaini nyie ni waganga njaa ndio hizi propaganda mfu zitawasaidia?

Mnataka nini na Tanzania yetu,kama hamtaki kuishi hapa Bongoland ondokeni muende ughaibuni mkaungane na wenzenu tuachieni nchi yetu. Sio kuwa mnaleta siasa za kishamba wakati watanzania hawawataki.

N.B: Kwani lazima watanzania wachague wabunge wa Chadema?
Tuwakumbushe watawala wa Afrika kuwa kushika hatamu hakukufanyi ugeuke kuwa
1. injinia,
2. daktari bingwa,
3. mhasibu mbobezi,
4. mwanasayansi wa viwango vya NASA
5. au mtaalam zaidi!

Therefore your power doesn’t suddenly increase your knowledge or qualify you to be anything more than you were! Waache u-much-know na upumbavu, wawe humble!
 
Bilashaka tunatafuta uteuzi

Hakuna Mtanzania mwenye akili za kipumbavu kama unless ameahidiwa uteuzi!
Usitufokee, tumeipenda wenyewe na tumeichagua wenyewe. CCM yetu mbele kwa mbele. Mtakufa kwa kihoro sye kazi tu kwa kwenda mbele.
 
Ww kama nan unaewataka watu kuondoka???unataka kila mmoja awe zumbukuku kama ww???
Mbona mnakuwa na vichwa vigumu na kushupaza shingo? Mnataka nini kwa watanzania?

Baada ya kubwagwa chini, mlikuja na gea la ICC likabuma, watanzania wanaendelea na shughuli zao hata hawana habari na nyie.

Samahani, mlianza na gea la kutulazimisha tuingie mitaani kuandamana eti uchaguzi haukua huru na wa haki. Watanzania wakawapuuza, sababu ni kuwa hawawataki maana nyie ni matapeli wa kisiasa na wachumia matumbo.

Sasa hivi mmeibuka na propaganda za kishamba na kipuuzi. Mnaeneza uongo kwenye mitandao, eti hapa Tanzania sera sio rafiki kwa wawekezaji nia yenu kubwa tu ni kuonyesha kuwa serikali ya awamu ya tano haifai na haitoi support kwa sekta binafsi.

Hivi mnatulazimisha tuwakubali? Kama tuliwakataa toka tulipowabaini nyie ni waganga njaa ndio hizi propaganda mfu zitawasaidia?

Mnataka nini na Tanzania yetu,kama hamtaki kuishi hapa Bongoland ondokeni muende ughaibuni mkaungane na wenzenu tuachieni nchi yetu. Sio kuwa mnaleta siasa za kishamba wakati watanzania hawawataki.

N.B: Kwani lazima watanzania wachague wabunge wa Chadema?
 
Mbona mnakuwa na vichwa vigumu na kushupaza shingo? Mnataka nini kwa watanzania?

Baada ya kubwagwa chini, mlikuja na gea la ICC likabuma, watanzania wanaendelea na shughuli zao hata hawana habari na nyie.

Samahani, mlianza na gea la kutulazimisha tuingie mitaani kuandamana eti uchaguzi haukua huru na wa haki. Watanzania wakawapuuza, sababu ni kuwa hawawataki maana nyie ni matapeli wa kisiasa na wachumia matumbo.

Sasa hivi mmeibuka na propaganda za kishamba na kipuuzi. Mnaeneza uongo kwenye mitandao, eti hapa Tanzania sera sio rafiki kwa wawekezaji nia yenu kubwa tu ni kuonyesha kuwa serikali ya awamu ya tano haifai na haitoi support kwa sekta binafsi.

Hivi mnatulazimisha tuwakubali? Kama tuliwakataa toka tulipowabaini nyie ni waganga njaa ndio hizi propaganda mfu zitawasaidia?

Mnataka nini na Tanzania yetu,kama hamtaki kuishi hapa Bongoland ondokeni muende ughaibuni mkaungane na wenzenu tuachieni nchi yetu. Sio kuwa mnaleta siasa za kishamba wakati watanzania hawawataki.

N.B: Kwani lazima watanzania wachague wabunge wa Chadema?
Waulize hao wanaofunga viwanda wao watakupa jibu, Chadema haijawafukuza.
 
Na hiyo kampuni inayositisha uchapishaji wa magazeti yake tumeishawishi sisi? Hayo mahotel makubwa yanayofungwa tumeyashawishi sisi? Mtu anapokaribia kufa humlaumu kila anayekatisha mbele yake akidhani ndiye sababu ya kifo chake
 
Hivi Ccm Bado wanapambana na upinzani tu!! Kuleta mabandiko kama Haya kwa sasa wakati umepora nafasi zote za kisiasa ni ujinga uliopitiliza, tuambieni hapa ni vipi mtakuza uchumi unaoporomoka, sifieni mazuri ambayo mnayafanya kama yapo, Bado mnamsakama Lissu na Chadema tu!!!! Ujinga huu
 
Kisha yule mwalimu akasema.... Embu tuliza kaubongo kako kasichojaa kijiko chachai kisha jiulize!!
kwanini viwanda havizinduliwi kwafujo sikuhizi?
Kiwanda gani kikubwa kimefunguliwa toka 2015?
Zao gani la biashara tuna export? Kuna wafanyabiashara gani wazawa wameibuka toka 2020? ajira hasa za kudumu vipi zipo? Mikutano ya wawekezaji umeskia? Kuna chuo cha elimu yajuu kimeongezeka?
Biashara ngapi kubwa zimefungwa? Soko la hisa dar limekuwa vyema? Mabenki/huduma za fedha zimekuwa kwakasi?
Elimu hasa ya ufundi imeboreshwa? Magonjwa/wagonjwa wamepungua?
Watz wanafurahia hali zao za maisha?
demokrasia na haki zinapatikana?
wafanyakazi wanaruhusiwa kudai/ kugoma ama kuandamana? tunauhuru bila vitisho? Tunachaguzi huru natume huru? Tunataasisi imara zisizopangiwa chakufanya?
Serikali ikowazi na shirikishi? ...nk.
Ama tumekalia kukusanya na ujenzi kutwa kucha...
Jiulize na ujijibu kama mtu mzima mwenyeubongo kama ngumi yako.
Nje ya mada,tuliza akili ujibe kinachotakiwa.
 
Hivi Ccm Bado wanapambana na upinzani tu!! Kuleta mabandiko kama Haya kwa sasa wakati umepora nafasi zote za kisiasa ni ujinga uliopitiliza, tuambieni hapa ni vipi mtakuza uchumi unaoporomoka, sifieni mazuri ambayo mnayafanya kama yapo, Bado mnamsakama Lissu na Chadema tu!!!! Ujinga huu
Kuna upinzani hapa Tz kwa sasa? Hakuna mtu aliyepora,wananchi wameamua hivyo. Hoja hapa ni kuwa muache upuuzi wa kuzua uongo kwenye mitandao ili kuchafua nchi yetu.
 
Na hiyo kampuni inayositisha uchapishaji wa magazeti yake tumeishawishi sisi? Hayo mahotel makubwa yanayofungwa tumeyashawishi sisi? Mtu anapokaribia kufa humlaumu kila anayekatisha mbele yake akidhani ndiye sababu ya kifo chake
Magazeti kusitisha uchapaji yanauhusiano gani na hii mada? Hizo hotel kubwa wewe ulishakwenda kunywa hata chai? Au unaziona kwenye magazeti tu. Hujui kuwa uchumi wa dunia umeyumba?
 
Back
Top Bottom