Uongo mtupu, hapa Tanzania mazingira ya uwekezaji ni mazuri na rafiki wala hakuna muwekezaji anadhulumiwa.Sasa kwani uongo wao nyie mnateseka nao wa nini si mlete wawekezaji wa kumwaga ili muwafunge mudomo?
Nani anataka wapuuzi kama wewe waingie bungeni.Mnalazimisha mpaka wapinga maendeleo wawemo bungeni kwanini? Wewe utopolo wa buswelu hebu tujibu
Kufunga viwanda sio kwamba serikali haina sera nzuri za kuwezesha wawekezaji. Wewe unaishi kwa kusikia na kukariri uongo wa mitandaon. Mpaka sasa tulipo Tanzania ndio inaongoza kwa kusambaza bidhaa Drc, Mozambique Malawi na Zambia. Hao ndio wanaagiza bidhaa nyingi toka Tanzania.Waulize hao wanaofunga viwanda wao watakupa jibu, Chadema haijawafukuza.
Kubwagwa kwenye uchaguzi upi? Kuna uchaguzi ukifanyika Tanzania? Watanzania wa wapi unawasemea?Mbona mnakuwa na vichwa vigumu na kushupaza shingo? Mnataka nini kwa watanzania?
Baada ya kubwagwa chini, mlikuja na gea la ICC likabuma, watanzania wanaendelea na shughuli zao hata hawana habari na nyie.
Samahani, mlianza na gea la kutulazimisha tuingie mitaani kuandamana eti uchaguzi haukua huru na wa haki. Watanzania wakawapuuza, sababu ni kuwa hawawataki maana nyie ni matapeli wa kisiasa na wachumia matumbo.
Sasa hivi mmeibuka na propaganda za kishamba na kipuuzi. Mnaeneza uongo kwenye mitandao, eti hapa Tanzania sera sio rafiki kwa wawekezaji nia yenu kubwa tu ni kuonyesha kuwa serikali ya awamu ya tano haifai na haitoi support kwa sekta binafsi.
Hivi mnatulazimisha tuwakubali? Kama tuliwakataa toka tulipowabaini nyie ni waganga njaa ndio hizi propaganda mfu zitawasaidia?
Mnataka nini na Tanzania yetu,kama hamtaki kuishi hapa Bongoland ondokeni muende ughaibuni mkaungane na wenzenu tuachieni nchi yetu. Sio kuwa mnaleta siasa za kishamba wakati watanzania hawawataki.
N.B: Kwani lazima watanzania wachague wabunge wa Chadema?
Bunge lipi? Hakuna mwenye Akili analitaka hilo Bunge lisilo chaguo la wapiga kura mpuuzi ni wewe unayefagilia bunge fekiNani anataka wapuuzi kama wewe waingie bungeni.
Acha kuja na Takwimu za kupika acheni kutengeneza takwimu kijinga hivyo watanzania wanajua uongo wenu zaidi mnavyofikiria, uchumi wa kati lakini maisha ni magumu kupindukiaKufunga viwanda sio kwamba serikali haina sera nzuri za kuwezesha wawekezaji. Wewe unaishi kwa kusikia na kukariri uongo wa mitandaon. Mpaka sasa tulipo Tanzania ndio inaongoza kwa kusambaza bidhaa Drc, Mozambique Malawi na Zambia. Hao ndio wanaagiza bidhaa nyingi toka Tanzania.
Hakuna ujumbe umeleta unataka ufike wapi?Ujumbe umefika.
Ubunge upi wamekosa? Wapiga kura waliwachagua lakini mkawapora kihuniBado wanamachungu ya kukosa ubunge, ahaaaaa.
Hakuna cha viwanda wala nini wanachojua ni kuiandama chadema tuKisha yule mwalimu akasema.... Embu tuliza kaubongo kako kasichojaa kijiko chachai kisha jiulize!!
kwanini viwanda havizinduliwi kwafujo sikuhizi?
Kiwanda gani kikubwa kimefunguliwa toka 2015?
Zao gani la biashara tuna export? Kuna wafanyabiashara gani wazawa wameibuka toka 2020? ajira hasa za kudumu vipi zipo? Mikutano ya wawekezaji umeskia? Kuna chuo cha elimu yajuu kimeongezeka?
Biashara ngapi kubwa zimefungwa? Soko la hisa dar limekuwa vyema? Mabenki/huduma za fedha zimekuwa kwakasi?
Elimu hasa ya ufundi imeboreshwa? Magonjwa/wagonjwa wamepungua?
Watz wanafurahia hali zao za maisha?
demokrasia na haki zinapatikana?
wafanyakazi wanaruhusiwa kudai/ kugoma ama kuandamana? tunauhuru bila vitisho? Tunachaguzi huru natume huru? Tunataasisi imara zisizopangiwa chakufanya?
Serikali ikowazi na shirikishi? ...nk.
Ama tumekalia kukusanya na ujenzi kutwa kucha...
Jiulize na ujijibu kama mtu mzima mwenyeubongo kama ngumi yako.
Kufunga viwanda? Kwa sababu gani?Waulize hao wanaofunga viwanda wao watakupa jibu, Chadema haijawafukuza.
Hakuna aliyeporwa,kama wameporwa wangeenda mahakamani.Ubunge upi wamekosa? Wapiga kura waliwachagua lakini mkawapora kihuni
Uwekezaji Tanzania siyo salama kuna usumbufu mwingi kuliko sehemu zote ulimwenguni hata kupata vibali vya kazi kwa wageni bila Rushwa huchukua masiku kibao kupata vibaliUongo mtupu, hapa Tanzania mazingira ya uwekezaji ni mazuri na rafiki wala hakuna muwekezaji anadhulumiwa.
Waende mahakama ipi? Mahakama zote zako watapata haki wapi?Hakuna aliyeporwa,kama wameporwa wangeenda mahakamani.
Pumbavu zako, unadhani hili ni shamba la bibi kama mnavyotaka iwe.Uwekezaji Tanzania siyo salama kuna usumbufu mwingi kuliko sehemu zote ulimwenguni hata kupata vibali vya kazi kwa wageni bila Rushwa huchukua masiku kibao kupata vibali
Kajambe ushuzi.Pumbavu zako, unadhani hili ni shamba la bibi kama mnavyotaka iwe.
Wewe ndiyo pumbavu kuwaibia pesa wawekezaji kwa kuwadanganya kuwa mnafanya michakato acheni wizi wa kihuni wewe mshambaPumbavu zako, unadhani hili ni shamba la bibi kama mnavyotaka iwe.
Akili zako zimegota mwisho? sasa umekuwa changudoa umepakatwa unakula pesa za Rushwa umejisahau kuwa wewe ni mpumbavu namba one humu JFKajambe ushuzi.
Ahaaa,najua mnaumia sana lakini ndio imeshatoka. Watanzania tumeshachagua. Chadema imefutika kabisa kama ilivyotabiriwa.Akili zako zimegota mwisho? sasa umekuwa changudoa umepakatwa unakula pesa za Rushwa umejisahau kuwa wewe ni mpumbavu namba one humu JF