Huu ni upuuzi wa hali ya juu.....wakati unaanza mahusiano na mtu uliyemzidi elimu ukiwa huna kitu ,vumbi limekujaa mpaka kwenye kope za macho hukuona kwamba sio level yako......leo hii umepata ajira nzuri unapigana vikumbo na wasomi wenzako huko ofisini unaanza kumdharau mke/mme wako. Nimechukia sana kuna dada hapa kila kukiwa na shughuli ya ofisi anamtosa mme wake. alafu jamaa yake mtu poa sana namjua. Inanitia hasira sana.
Alikuwa ni level yake kwa wakati huo alipokuwa anakula vumbi na sasa hiv yupo kwenye kiyoyozi. Dont u see the difference?
Huu ni upuuzi wa hali ya juu.....wakati unaanza mahusiano na mtu uliyemzidi elimu ukiwa huna kitu ,vumbi limekujaa mpaka kwenye kope za macho hukuona kwamba sio level yako......leo hii umepata ajira nzuri unapigana vikumbo na wasomi wenzako huko ofisini unaanza kumdharau mke/mme wako. Nimechukia sana kuna dada hapa kila kukiwa na shughuli ya ofisi anamtosa mme wake. alafu jamaa yake mtu poa sana namjua. Inanitia hasira sana.
aaah kaz kwel kwel pole yake,hivi vitu vipo sana na ukivifuatilia utaumwa kichwa,mwingine anakwambia nije nae kwenye party ya wasomi ataongea nini wakati kiingereza chenyewe hajui,yani mtu anamuonea aibu mke/mme wake unakuta hawezi kupeleka mfanyakazi mwenzake nyumbani hasa kama yule mfanyakazi mwenzake hajui kiswahili