Wanatafuta tembo, unataka watumi nini, masikin tembo wa Kigoma..
masikini tembo wa watu wanamalizwa na msomali huyu wamatumbi wanacheka tu kweli ningeweza kuhama kutoka ngozi nyeusi ningeshukuru sana
Wanatafuta tembo, unataka watumi nini, masikin tembo wa Kigoma..
Kwahiyo ndio wanaenda kuzindua ile Dubai ya Africa?CCM kama chama mmeonyesha matumizi sahihi ya ruzuku.
Ndugu hivyo wewe huna hata aibu, sijui unamuabudu mungu gani, HIvyo nyinyi kumtukana alivyozaliwa Nape. kunamifaidisha nini kisiasa. MnAuye ni mtoto aliyezaliwa BILA MATAKWA YAKE, kama amezaliwa njee ya ndoa, jee yeye kafanya kosa gani. Pia ningependa kuuliza kama ulisoma ile repoti iliyotoka hivi karibuni kuhusu DNA test, ambazo zinasema kuwa asili mia nyingi ya watoto WAKI TANZANIA hawakuzaliwa na baba wanaowalea au waliowaleya, JEE WEWE UMEHAKIKISHA KAMAWEWE NA NDUGU ZAKO NI WATOTO HALALI WA BABAYENU. NA PIA MBONA MNAMTETEA NA KUMTUKUZA DR SLAA, AMBAYE NI MZINIFU, NA AMEZAA WATOTO WA HARAMU NJEE YA NDOA, MBONA HAO WATOTO WA SLAA HAMUWATUKANI. MNAFIKI WEWE
kiu usipende kiga misemo ambayo hata maana yake halisi haileti maana kulingNa na mazingira.Mkuu,
Hawana jipya wanatafuta 'cheap popularity'. Hata hilo behewa walilopanda wao ni maalum, ukitazama mabehewa mengine ya treni hiyo hiyo utaona tofauti kubwa sana. Wangekuwa wana mioyo safi wangejichanganya na abiria wengine hata kama ni daraja la kwanza lakini wamejichagulia behewa lao peke yao! La kuvunda halina ubani. Nawapa pole sana wote watakaodanganyika kwa hili!
nini sasa au kueka colours kunakuchanganya,kuwa straight hii sio forum ya love au arts 😡
kiu usipende kiga misemo ambayo hata maana yake halisi haileti maana kulingNa na mazingira.
Mi watu kama wewe mngelalamika sana wangeenda Kigom na mashangingi au ndege, alimradi mpate kitucha kulaumu tu.
Sasa leek bandika picha ya kamati kuu ya chama chako wakipanda treni au basi kuelekea M4C!
Halafu tuonyeshe ni lini Dr Slas kapansa usafiri wa kawaida au hara daladala.
Unafiki kazi!!
Michuzi: Kinana na sekretarieti yote ya ccm waenda kigoma kwa tren
Mkuu hiyo posti nimebandika on-the-move, halafu nani ammwakyembe Dr Slaa, Shonza saizi yake!Soma bandiko lako na Ufanye editing err kibao. Sasa unamfananisha slaa na hao vichwa panzi? Slaa apande daladala ili mu mmwakyembe sio? Kwani we hujui slaa ndio prezda wetu? Ebo wacha unafiki
Nipo skeptical. kwa nini sekretarieti ya CCM wameamua kutumia usafiri wa trein?
Je ni kwa sababu wanaogopa Ndege MBOVU za TTCL isije ikawamaliza wote (CCM)
au walitaka kuonyesha watanzania wapo nao pamoja katika madhila ya usafiri hasa wana Kigoma
au wanataka huruma ya wananchi baada ya kutuhumiwa kwa muda kwamba mikataba inayoingiwa na serikali yake haiweki mbele masilai ya wananchi. maanake akina Kinana pesa si tatizo.