Huu ni usafiri mpya wa viongozi wa CCM?

Huu ni usafiri mpya wa viongozi wa CCM?

Majangili,wana wa haramu wanaizaya wanajaribu kushirikiana kuwahadaa watanzania.Oooh!poleni sana kwani waTZ hawadanganyiki tena its 2late.Tutawabeza na kuwatemea mate ya usoni huku mkizomewa na kupigwa kipigo kitakatifu kisha kuwapiga kibiriti kwa petrol na tyre kama tuwaoneavyo vibaka wadogo kwani nyinyi ndio chanzo cha matatizo yetu yote.,SASA WAKATI WENU TULIOKUWA TUNAUSUBIRI KWA HAMU UMEWADIA NA NDIO UTAKAOSEMA.NA ASHUKURIWE ALLAH MUUMBA MBINGU NA ARDHI.

sadist comment
 
we unafkiri ndio nini?

Kuuliza swali ni kuelewa SIO kumuacha MUULIZA swali kwenye DEEP DARKNESS and Confused... HIVI ndio Baadhi yetu HUMU kwenye Jamii Forums hatupendi kuelewesha WENZETU??? Au ndio SIASA za UPEKEE - DREAMS of KEEPING IN not sharing
 
Watanzania na siasa za kuzodoana.
Wakisafiri na ndege wanasemwa, Wakisafiri na gari wanasemwa hata treni nayo bado ni maneno. Haya yanaitwa ni majungu na fitina. It's intoxicated politics at the highest level.
 
Watanzania na siasa za kuzodoana.
Wakisafiri na ndege wanasemwa, Wakisafiri na gari wanasemwa hata treni nayo bado ni maneno. Haya yanaitwa ni majungu na fitina. It's intoxicated politics at the highest level.

Walikuwa na umuhimu gani wa kupiga picha wakiwa wanasafiri na treni na kuiweka kwenye kurasa ya mbele kabsa kwenye gazeti la uhuru?mbona wakisafiri kwa mashangingi yao hawapigi picha na kuweka magazetini au kuposti humu?walikuwa wanataka kutuhadaa watanzania kuwa wanawajali raia wa hali ya chini ambao ndio watumiaji wa kubwa wa usafiri huu wa treni.kama hivyo wanataka kutuonesha kuwa wanajali wananchi wa hali ya chini kwanini wasingekuja kupanda third class?hakuna majungu hapo bro hao jamaa wameishiwa mbinu.Hatudanganyiki tena na magamba sasa ni mwendo mdundo mpaka kieleweke
 
Mkuu,

Hawana jipya wanatafuta 'cheap popularity'. Hata hilo behewa walilopanda wao ni maalum, ukitazama mabehewa mengine ya treni hiyo hiyo utaona tofauti kubwa sana. Wangekuwa wana mioyo safi wangejichanganya na abiria wengine hata kama ni daraja la kwanza lakini wamejichagulia behewa lao peke yao! La kuvunda halina ubani. Nawapa pole sana wote watakaodanganyika kwa hili!

vipi ile "helkopta" ya mbowe 2005 haikusaidia kupata cheap popularity?
 
Kama wameamua kutumia treni.. Sasa wanashangilia nn? Viongozi wa CCM bwana kila jambo wanafanya siasa.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Chadema acheni kelele ni ruksa kucopy na kupaste au kiroho safimnaweza kutumia hata punda mkasafiri.
 
Sio vibaya kutumia treni kusafiri. Nawapongeza Kinana na wenzie.
 
Nimefuatilia safari ya wajumbe wa sekretarite ya CCM kwenda Kigoma kwa treni, naamini katika hili CCM imepiga bao!!!
 
Walikuwa na umuhimu gani wa kupiga picha wakiwa wanasafiri na treni na kuiweka kwenye kurasa ya mbele kabsa kwenye gazeti la uhuru?kwa mbona wakisafiri kwa mashangingi yao hawapigi picha na kuweka magazetini au kuposti humu?

Kama walipanda treni kwa dhumuni la political stunt huku waki instruct magazeti yawapige picha na kuweka kwenye front page siwezi/hatuwezi kufahamu, hata hivyo unaruhusiwa kufikiri hivyo lakini kumbuka kuna wengine hapa janvini wanadai wameogopa kupanda ndege kwa sababu ya kupata ajari. which is which?

walikuwa wanataka kutuhadaa watanzania kuwa wanawajali raia wa hali ya chini ambao ndio watumiaji wa kubwa wa usafiri huu wa treni.kama hivyo wanataka kutuonesha kuwa wanajali wananchi wa hali ya chini kwanini wasingekuja kupanda third class?hakuna majungu hapo bro hao jamaa wameishiwa mbinu.Hatudanganyiki tena na magamba sasa ni mwendo mdundo mpaka kieleweke

Mkuu, Watanzania walio wengi hata kidogo siyo watumiaji wa treni (official).
Tatizo letu watanzania tunafikilia wao hawawezi kupanda treni ndiyo maana tunaliona swala kama hili ni la ajabu wakati ni kitu cha kawaida kabisa. Siwezi kushangaa maelezo yako kwa vile kwa jinsi tulivyo bado nyuma, hata usafiri wa helikopta bado tunaona ni wa ajabu mpaka watu wanakimbia kuangalia.
 
Watakuwa wamepiga bao kama ndio wanaenda kukutana na ile Dubai iliyo ahidiwa! Lakini kama ni kusafiri tu kwa treni huku mamia ya wasafiri wa mkoa huo wakiendelea kuteseka kwa usafiri usio wa uhakika wa treni hiyo ni kuwachezea akili. Vipi wao safari yao haiku ahirishwa wakiwa stesheni na mizigo a watoto huku wakiwa hawajui pa kwenda?
 
Nimefuatilia safari ya wajumbe wa sekretarite ya CCM kwenda Kigoma kwa treni, naamini katika hili CCM imepiga bao!!!

Kageuka funguka ueleweke wamepiga bao gani? Au kuifanya kigoma kuwa Dubai? Kwani hizo pesa wametoa mfukoni mwao au ni kodi za wananchi?
 
CCM kama chama mmeonyesha matumizi sahihi ya ruzuku.
 
hawa wazee washaiba mali ya umma eti leo wanajidai wako karibu na wananchi. Hadanganyiki mtu sana sana wanaitia TRL hasara najua watakuwa hawajalipa nauli kisa eti ccm, my foot!
 
Ccm 0 mwakyembe,!? Ccm ni ufixadi2 nd0 maana kiny0nga alimk0xak0xa mwenye tren kwa jina la yesu ccm wakashindwa ww ukak0mb0lewa hatimaye unacfia ucemjua,,
 
Wanafiki hao

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom