Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,189
- 128,276
je, nauli ya treni kutoka dar mpaka kigoma ni bei gani??
Mbona hiyo timu haiendi Mtwara??Na hili vuguvugu la mabadiliko na migomo,nyie endeleeni kutembea kwa makundi tu.Tutawakamata wote kwa pamoja na 'kuwatafuna' kama njugu mawe.Yaone kwanza yalivyo maneneee,yameshiba rushwa na ufisadi.
Hahahaaaa KINANA anatisha,Dj Ravalomanana wa Bongo pamoja na Genge lake la Ukoo wamelowa Nyang'anyang'a,Ukienda mbele Komred Kinana,Ukigeuka kulia komred Nape,Kushoto Komred Mangula bila ya kumsahau Kiungo mchezeshaji Komred Mwigulu Lameck Nchemba Mwarobaini wa mateja wa Kinondoni Manyanya yaan Kikosi cha Mafundi wa Siasa tupu! natamani 2015 ifike wale waloshonesha Suti za kuapishiwa Ziozee kwa Mafundi, Kidumu chama cha Mapinduzi,Kidumu chama Tawala, Idumu Siasa ya Ujamaa na Kujitegemea Lidumu Azimio la Zanzibar lililozaa Vyama vingi!