Huu ni usafiri mpya wa viongozi wa CCM?

Huu ni usafiri mpya wa viongozi wa CCM?

Wao kupanda treni haisaidii kitu!Tunataka haya makontena yanayopita morogoro rd nayo yapande treni,foleni ipungue!Nawakitoka huko wapande yakwenda Tanga na Moshi!
Pamoja mkuu,hii foleni inaletwa na malori yao na pia mwezi disemba moshi arusha nauli zinapanda treni yetu wameipeleka wapi?haya majamaa mapuuzi kweli kweli je na mashangingi yao yanabaki dar ama vp?nahofia hata usalama wa tembo wachache waliobaki,ni janga kuu....
 
Wauze vyote walvyo navyo wawape masikni ndio tutajua wazalendo,vingnevyo wanawatafuta wajnga na watawapata kama wewe unae waunga mkono
 
Akifika mbele anashuka huyo msomali anakamata v8
 
Ndugu hivyo wewe huna hata aibu, sijui unamuabudu mungu gani, HIvyo nyinyi kumtukana alivyozaliwa Nape. kunamifaidisha nini kisiasa. MnAuye ni mtoto aliyezaliwa BILA MATAKWA YAKE, kama amezaliwa njee ya ndoa, jee yeye kafanya kosa gani. Pia ningependa kuuliza kama ulisoma ile repoti iliyotoka hivi karibuni kuhusu DNA test, ambazo zinasema kuwa asili mia nyingi ya watoto WAKI TANZANIA hawakuzaliwa na baba wanaowalea au waliowaleya, JEE WEWE UMEHAKIKISHA KAMAWEWE NA NDUGU ZAKO NI WATOTO HALALI WA BABAYENU. NA PIA MBONA MNAMTETEA NA KUMTUKUZA DR SLAA, AMBAYE NI MZINIFU, NA AMEZAA WATOTO WA HARAMU NJEE YA NDOA, MBONA HAO WATOTO WA SLAA HAMUWATUKANI. MNAFIKI WEWE

unafikiri u uharo wako ndio utamwondolea uharamu wake? Mi si nimesema nimemwona mwanaharamu pale anacheka kama anamjua baba yake kumbe kadandia ukoo wa watu
 
Chadema mbona mnajitaftia magonjwa ya presha wenyewe,safari ya ccm kutembelea wanachama wake nyie ndo mnaumia na kuanza mipasho,kwakweli wasira ni nabii,chama cha wach... Oops cha chagua slaa kinakufa.
 
Mwendo MDUNDO ndio NINI???

kuanzia ufundishwe kueka colour imekua taabu!? sasa unataka tukufundishe na lugha!? surely hujui maana ya mwendo mdundo? ila mbowe knows kwasababu nishawahi msikia akilitumia, au ulifkiri ni ilani ya cdm?
 
Chadema mbona mnajitaftia magonjwa ya presha wenyewe,safari ya ccm kutembelea wanachama wake nyie ndo mnaumia na kuanza mipasho,kwakweli wasira ni nabii,chama cha wach... Oops cha chagua slaa kinakufa.

:gossip: hahahahah,, nimeipenda iyo! oops jamaa wamesikia!!!
 
Chadema mbona mnajitaftia magonjwa ya presha wenyewe,safari ya ccm kutembelea wanachama wake nyie ndo mnaumia na kuanza mipasho,kwakweli wasira ni nabii,chama cha wach... Oops cha chagua slaa kinakufa.

mkuu yamewashinda ya dumila,kariakoo,mtwara kwel ya chadema mtayaweza,.

Chadema ni levo zingne kabisa ban itawatesa sana hado kufika 2015 ntakuja na mbinu hadi ya kutaka tembea juu ya mawe,. Hata hivo ccm umeishi sana 1977-2015 RIP ccm
 
....JA.........LIVE....!!!!!!

....CC...

...
Kamanda Msigwa, .... CITES...WWF ,....Tembo wote sub Sahara.. AWF , Flora and Fauna International, Natural conservancy , IUCN , TANAPA , Tongwe Trust, Jane Goodall, kamati za mazingira vijiji ,Frankfurt zoological society and lastly..... Mungu aliye juu....!!!!!!!!!
 
nini sasa au kueka colours kunakuchanganya,kuwa straight hii sio forum ya love au arts 😡
 
Majangili,wana wa haramu wanaizaya wanajaribu kushirikiana kuwahadaa watanzania.Oooh!poleni sana kwani waTZ hawadanganyiki tena its 2late.Tutawabeza na kuwatemea mate ya usoni huku mkizomewa na kupigwa kipigo kitakatifu kisha kuwapiga kibiriti kwa petrol na tyre kama tuwaoneavyo vibaka wadogo kwani nyinyi ndio chanzo cha matatizo yetu yote.,SASA WAKATI WENU TULIOKUWA TUNAUSUBIRI KWA HAMU UMEWADIA NA NDIO UTAKAOSEMA.NA ASHUKURIWE ALLAH MUUMBA MBINGU NA ARDHI.
 
Mpaka arudi Dar, Dentist wetu ataponyesha sana Tembo wa Kigoma na Tabora. RIP Tembo.
 
Back
Top Bottom