Huu ni unyama,serikali mpo kimya

hopaje

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
1,726
Reaction score
1,218
askari wameua zaidi ya ng'ombe 50 bada ya kuingia sehemu ya hifadhi ya mwekezaji wa Glumet.

 
Yote yana mwisho....yaani waliomhonga suti kikwete wana thamni kubwa sana nchi kuliko watanzania wavuja jasho...
 
Khaaa! Jamani muda mwingine tuwe na utu. Embu assume hao ng'ombe wangekuwa wa babu yako wewe askari ungejisikiaje? Mnajua mmemtia hasara kiasi gani mwenye hao ng'ombe kisa tu wameingia kwenye hifadhi?
Kumbukeni hao ni wanyama na ulekekeo wanaopelekwa wao huenda huko huko, wanahatia gani ya kukatishwa maisha yao gafla tena kinyama? [maana naimani watakuwa wamepigwa risasi tu]. Wangekamatwa watu waliokuwa wakiwachunga na sheria kufuata mkondo wake.
This hurts me really.
 
wapi huko? sasa jamani ng'ombe nae ni CHADEMA?
 
Billa kumuua mwendawazimu wa Ccm hata mmoja na kuondoa uhai kwa polisi wakutosha tu damu za wany'onge wa Tanzania wanaolipa kodi za kununulia silaha ili walindwe haitaacha kumwagwa na Jeshi la Ccm ambalo limeapa kuilinda Ccm mpaka kifo chake..Ni wajibu wananchi kupambana na polisi kadiri wawezavyo wakifa basi lakini kukaa kimya kuvumili kauli ya pindda kufanya kazi ni sawa kununua silaha ili mlinzi wa geti lako akuue sasa kabla hajakuua mmalize tafuta mlinzi mwingine liwalo na liwe ua polisi ili ujilinde liwalo na liwe
 
wapi huko? sasa jamani ng'ombe nae ni CHADEMA?

Mkuu,

CDM ni watu, I mean bila watu hakuna cdm.Lakni watu bila mifugo uai hakuna. Anayeua mifugo 50 kwa ukatili ni wazi ataua watu vilevile, i mean ameau cdm. ..amri ya pinda ndo kutekelezwa kwake hivo...
 
Yaani ukishaua na kukataa kukiri utaendelea kuua tu. Ndiyo yanayoikumba nchi hii sasa
 
Watu wanaosadikiwa kuwa ni askari wa mwekezaji wa Grumet Fund na pori la Akiba la Ikorongo wilayani Serengeti mkoani Mara,wanadaiwa kuwaua ng'ombe zaidi ya 50 wa mkazi mmoja wa kijiji cha Mariwanda wilayani Bunda baada ya kudaiwa kuingia katika pori hilo kinyume cha sheria .
 
Utasikia "huyo ni muwekezaji(untouchable), yupo nchini kwa mujibu wa sheria, itabidi iundwe tume kuchunguza chanzo cha uharifu huo!!"

Hiyo ndo serikali sikivu ya ccm!!!
 
Huo ni unyama wa hali ya juu! subili kauli za serikali sasa.
 

Tena gusa kwingine sio Guruneti Bwana, Huko ndo Mkuu wa Kaya huenda kupumzika. Hao walie tu wala huyo DC hawezi kufanya lolote. Hao Maaskari wanaofanya hao sio wa kitanzania wametoka South Africa. Yaani wewe ulizia akina Mura watakwambia ukweli. Hiyo si ndo Kamati ya ya Bunge ya Mashirika ya UMMA iliyokuwa chini ya Shelukindo ilitolewa nduki walipojaribu kwenda kuwasikiliza mambo yao?

ACHA KABISA HIYO NDO IMETOKA, HATA HUYO GEORGE MARATO AJIANGALIE JAMAA HACHEZEWI KABISA.

Sasa tuko kwenye yale tuliyowahi kusoma kwenye Mine Boy enzi za Elimu ya Awamu ya Kwanza.
 
Ngoja iunde tume ichunguze-kamanda chagonja yumo ndani....

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kakaidi amri harari ya geshi ra poris dawa yake ni kupiga tu. Neno piga lina maana kubwa kwa mjibu wa pinda ikiwemo kutia kirema cha maisha,kung'oa meno na kucha au kuua kabisa.kichaa kakabidhiwa rungu.
 

wameuawa WATOTO wadogo tena kwa bomu sembuse ng'ombe? Ni serikali gani unaiambia? Si ndio wauaju wenyewe?
 
wameuawa WATOTO wadogo tena kwa bomu sembuse ng'ombe? Ni serikali gani unaiambia? Si ndio wauaju wenyewe?
mkuu tunarekebisha vip hi hali?
mana tayari umaskini umeshamrudia uyo mmiliki wa iyo mifugo
dah afu kama wanaua na watu aiseee
 
Nasikia story nyingi kwenye hiyo hotel ya kimafia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…