Huu ni Unafiki wa kisiasa, Mwenyekiti wa CCM hukuona kuwa Mbunge wa Morogoro hafai?

Jana kwenye uzinduzi wa soko alimsimamisha huyo Mbunge na kumsifia kweli kweli na mabasi yake. Leo ghafla kawa Mnyonyaji.
Mkuu,.
Kumbe ulifatilia na una kumbukumbu,Tena Rais akasema,Avoid awe mfano kwa wengine,anajitolra kutoa mabasi yake kwenda kuzika.
 
Hakuna mwekezaji anaeweza kuacha kuwekeza kama huo uwekezaji ni viable!

Ukimpa mtu Kiwanda kilichokufa ukaona hajakifufua jua kuna tatizo sio ku jump kwny conclusion, udhalilishaji na kuchonganisha Raia na Mbunge wao kuwa Wanakufa kwa stress za kukoss ajira, kwani Aboud ndio anakusanya kodi zao
 
Mkuu uligombea wapi ukakosa ubunge? Je ulitumia gharama shilingi ngapi?
 
Magufuli atuambie kwa hili kabla ya kumshambulia abood .ni nani aliyesababisha kiwanda cha tumbaku na kile cha kutengeneza jezi morogoro vifungwe na vijana karibu 2000 kukosa ajira? Kama sio Sera mbovu za kodi za serikali ya Maghufuli?
 
General tyre Arusha aliuziwa nani?
 
Magufuli atuambie kwa hili kabla ya kumshambulia abood .ni nani aliyesababisha kiwanda cha tumbaku na kile cha kutengeneza jezi morogoro vifungwe na vijana karibu 2000 kukosa ajira? Kama sio Sera mbovu za kodi za serikali ya Maghufuli?
Kazia hapo hapo na zao la korosho nani kaliwekea siasa za kiki mpaka limeanguka?
 
Huyo ni mgonjwa wa bipolar disorder , saikatriki kesi usishangae .
 
Vichekesho!
Morogoro jana, leo kulikuwa na upepo, mawingu na mvua na vipindi vifupi vya jua. Hali ya hewa ya hivi huchangia, mawimbi yanayopokelewa kwenye mfumo wa mawasiliano kuleta mkanganyiko, picha zenye chenga zikichangiwa na dishi kuyumba!

Ukiona hujaelewa jua umeelewa!
Futuhi!😅😂

Everyday is Saturday..............................😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…