Huu ni unafiki katika mapenzi, kwanini uliamua kuwa nae?

sema nao ukweli hawautaki mae .. mimi nikisema i love lakini i love bottle zaidi utaambiwa not wife material .. so muhimu ni kuficha

Every women is wife material depend on which material needed.
kama sio material kwake kwa wengine we ni first class material...
 
maisha ya kufake kila siku kutoka na mazingira ukimwonyesha upo hivi utaitwa majina yote shida inakujaanza baada ya ndoa
sasa kama hataki kumjua miss chagga nifanyaje? huwa tunapoanza mapenzi kuna maswali nayaonaga ya kipuuzi eti baby mention your dislikes na likes? hili swali linamaana we need kutengeneza a person u like we start to fake sasa baby hataki niende club unaanza kujiib ili asijue.. ni kosa kubwa sana kujibu hilo swali ..tell him or her u will experience slowly don't create me.. take me as i am..:tongue:
 
People have the right but not the obligation to know! Mtu unamvumilia baadae anakuwa HAVUMILIKI sasa ndo unajiuliza WHY? analeta jueri wakati umemstiri na mambo kibao! Sasa zingine machungu yanakuzidi, anajifanya mbabe mbele za watu wakati wewe unamjua kiundani.:lol::lol:
mae UVUMILIVU UNAISHA ...UVUMILIVU SIYO ENDELEVU... UVUMILIVU UNAZAA UCHUNGU NA KISASI ..... unafki ni jambo nzuri kwa wanandoa
 
mae UVUMILIVU UNAISHA ...UVUMILIVU SIYO ENDELEVU... UVUMILIVU UNAZAA UCHUNGU NA KISASI ..... unafki ni jambo nzuri kwa wanandoa

na ukiamua Kuwa mnafiki uwe mnafiki till siku mnatenganishwa na kifo.... sio kuja kumletea shida mwenzio mkisha sign vyeti vya ndoa wakati mapungufu utakayokuwa unamtesea ni yale uliyokuwa unayaona wakati mkiwa kwenye michezo ya kindoa hadi mkaamua kuihalalisha?? hivi matatizo ambayo sio mapya ya mtu asie mpya kwako unakujaje kuyaona mzigo wakati uliyakubali?
 
Kwa sababu wengi hudhani ndoa ni kuvaa shela wakasahahu ndoa ni zaid tuyaonayo mmh mie bado huko nijiandae kuwa mnafki had kaburini
 
Yanakuwaga siyo maamuzi ya busara bali ni maamuzi ya ngono. Mkishachokana ki-ngono sasa ndiyo kila mtu anatafuta vijisababu vya kugombana na kuachana. Utasikia hili linakula sana yani...
 
Some people are undefined. Anasema anakupenda, ila kila unachofanya haoni jema kwake sasa kakupendaje? Tuache unafiki, nikuambiana ukweli ; what you see and experience is what you get.
 
Dada zetu wwngi wanakosea sehwmu moja, kuweka ndoa kuwa ni fanikio LA kimaisha hatakama anaolewa na MTU asiye mpebda. Nimeliona Sana hili.
 
Yanakuwaga siyo maamuzi ya busara bali ni maamuzi ya ngono. Mkishachokana ki-ngono sasa ndiyo kila mtu anatafuta vijisababu vya kugombana na kuachana. Utasikia hili linakula sana yani...

kumbuka ndoa yako ya Kwanza ndo ndoa halisi.... ndoa zingine ni za kutimiza matakwa yako tu.....

kama ni uongo kaoe halafu achana au ongeza mke juu ya mke wa kwanza kama utaona jipya juu ya ndoa yako ya kwanza..
 
People have the right but not the obligation to know! Mtu unamvumilia baadae anakuwa HAVUMILIKI sasa ndo unajiuliza WHY? analeta jueri wakati umemstiri na mambo kibao! Sasa zingine machungu yanakuzidi, anajifanya mbabe mbele za watu wakati wewe unamjua kiundani.:lol::lol:
kwani yeye hakuvumilii? Au kwa kua hasemi?
Hivi kwa nini wanawake mnajiona mko sahihi 100% ? Au kwa kuwa wanaume hatuna tabia ya kuchonga sana
-kuna ke wengine wakilala wana mapungufu kibao,kama rambo,anakoroma,gubu,kunuka mdomo,uchafu au hajui kupika lakini tunavumilia na life linasonga tu.
 
Mkuu na ukikosea kuolewa je?

nyumba yenye mwanamke mvumilivu asie na maneno na asie pasua kichwa inaunafuu sana...... mwananume hata awe na matatizo laikini mwanamke akishakuwa mvumilivu na kumstahi mume wake basi maisha yanaweza kusonga...
 
Mapenzi upofu,pia kuna watu ambao ni wema sana before hawajaoa au kuolewa,but wakiingia ndani ya ndoa hukunjua makucha.

According na mawazo yako uko sahihi kabisa,ni kheri kuingia kwenye ndoa ukijua udhaifu wa mwenzio unakuta umeamua kwamba utavumilia,ila ukibadilika ikawa tena ni kero na ulijua tatixo before wewe ni bonge la mnafiki,

Na kuna watu wanajidanganya oh ngoja tuoane nitambadilisha wewe!!!kama wazazi wake walishindwa wewe ndio utaweza:what::what::what:be careful.

Hii inatosha kabisaa, pia sometime mimi naona ndoa kama bahati nasibu tu, ktk uchumba mwema kwenye ndoa mbwa mwitu, ktk uchumba mbwa mwitu, sometime it happen he or she will be so kind to the extent that you will remain wondering forever
 
Back
Top Bottom