Huu ni umafia dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar

Bashite ameshaweka vijana wa kumsafisha, tatizo ni kwamba wasafishaji wenyewe wanamsafisha kwa kutumia petrol
 
Ni mwenye uelewa Mdogo au mtu ambaye kichwa yake ina udongo badala ya ubongo ndiyo anaweza kujitokeza mbele na kumtetea Makonda na inshu yake ya kwenda kufanya vurugu Clouds,
 
Mkuu umejitahidi kuandika ila ndugu yenu hasafishiki.

Kaichafua serikali nzima, watu hawana imani na raisi wala taasis zake. Watu wanavumila tu kufanya kazi na ho ndugu zako ila hawawapendi
Acha majungu bro, nani hana imani na Raisi? sema kwamba JF na wanaharakati mnajaribu kukuza mambo kwa kivuli cha wananchi-hayo ya makonda ni kwa sababu tu kagusa wakubwa flani kwenye madawa ya kulevya-yote haya tuonayo ni matokeo ya madawa ya kulevya-ila wenye akili timami wanafahamu.
 
Imebainika kuwa njama za kumtoa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe Paul ******* zilianza Bungeni kwa kuratibiwa na baadhi ya wabunge wanaohusishwa na mtandao wa dawa za kulevya.

Katika kudhibitisha hili, walifanya kikao Dodoma kilichohusisha baadhi ya wabunge na kukubaliana kuunganisha nguvu na wafanyabiashara na Viongozi wa Dini waliohusishwa na biashara ya Dawa za kulevya.

UTEKELEZAJI WAKE :-
1. Walikubaliana kuungana na baadhi ya viongozi wa ukawa ambao hapo awali walikuwa mahasimu wao kisiasa, zoezi lililoratibiwa na mbunge mmoja ambae ni mtoto wa kiongozi mstaafu, rejea picha za matukio mbalimbali wakati wa mechi ya simba na yanga (zoezi lilifanikiwa)

2. Kuwaunganisha kwenye mtandao wafanyabiashara wakubwa waliotajwa na ******* pamoja na kumuunganisha Askofu mmoja alietuhumiwa kujihusisha na mtandao wa dawa za kulevya, lengo la kuwaunganisha hawa ni kupata ufadhili wa fedha za kutosha, rejea kauli za baba askofu akidhibitisha kujizatiti kumuondoa ******* Dar (zoezi lilikamilika)

3. Kushawishi marafiki wakubwa wa ******* ambao walikuwa wakimsaidia ******* katika vita ya dawa za kulevya kwa kuwarubuni kumgeuka ******* na kuungana katika kambi yao kwa makubaliano kuwa ******* akiondoka Dar watashinikiza kupatikana kwa mkuu wa mkoa ambae atakuwa hana purukushani za dawa za kulevya, udhibitisho wa hili ni RUGE KUMGEUKA *******(zoezi limefanikiwa)

4. Kutumia baadhi ya mawaziri ambao watu wao walijeruhiwa kwenye kampeni za uchaguzi na kuwaingiza kwenye mtandao wa kumtoa ******* Dar, ushahidi wa hili ni alliance ya Mgombea wa Urais kutoka Lindi, mahusiano yake na waziri ambae amejitoa Muhanga kumpinga ******* hadharani.(zoezi lilikamilika tangu dodoma)

5. Kutengeneza tukio ambalo litamfanya ******* apate aibu mjini, kisha wamtake ******* aaibike, wakishapanga mtego mmoja ******* akaujuaga mida ya nyuna akukwepa, sasa hili tatizo la ******* kwenda CLOUDS usiku lilivyotokea wakaamua KUKANYAGIA HAPO HAPO.

6. Kuwashawishi baadhi ya wabunge wa chama tawala kutoa vitisho kama ******* hataondolewa kwenye ukuu wa mkoa basi watajiuzulu , ushahidi wa hili ni post ya face book ya mhe Kingu(zoezi lilifanikiwa)

HITIMISHO
-Jiulize tangu lini clouds na mmiliki wa ipp walishakuwa na mahusiano ya karibu kama juz?

- Jiulize tangu lini EFM na CLOUDS walishakuwa marafiki?

- Jiulize tangu lini Askofu alishawai kukaa karibu na CLOUDS?

- Jiulize tukio linalotajwa la uvamizi limetokea ijumaa, kelele zimeanza kupigwa Jumatatu hii ni baada ya hawa mabwana kukutana jumamosi na kufanya kikao cha pamoja jumaosi na jumapili hela ikatoka kanisani kwa askofu kwa kazi maalum Jumatatu.

-Jiulize hiyo jumatatu jamaa kafanya mahijiano live asubuhi, kisha saa nne asubuhi Mhe waziri anatinga CLOUDS akiwa na mzee wa ipp, na hapo hapo kamati ya huduma za bunge inakwenda CLOUDS mchana huo huo?

-Jiulize kwa nini wote wameshinikiza ******* aondolewe Dar?
Na mwisho kabisa, baada ya Mhe Rais Dkt. John Magufuli kustukia njama zao kutokana na kuwa na kikosi imara cha ujasusi katika maeneo mbalimbali akawabomoa LIVE bila chenga pale ubungo wakati wa uzinduzi wa mradi wa flyover.

TUKIDHANI WATAMUELEWA MHE RAIS WAMEGOMA NA KUMSHAWISHI MHE WAZIRI KUUNDA KAMATI WAKATI WANAJUA MHE RAIS AKISHAONGEA MJADALA UMEKWISHA, LAKINI WAO WAMEAMUA SASA KUPAMBANA NA NGUVU ZA MHE RAIS KWA KUSHINIKIZA BAADHI YA WABUNGE WAJIONDOE KWENYE NYADHIFA ZAO.

TUMEWAJUA NA TUTAPAMBANA TULIENI MTAONA.
Tatizo mnatumia akili ya chekechea kutetea udanganyifu na uhuni wa Bashitee! Hii inathibitisha kuwa zero na zero ni ndugu! Eti mkuu kawabomoa live hovyooo! Kama unajua kuwa nchi hii ni ya wananchi subiri matokeo ya kinachoendelea...Bashitee must go!
 
Mpaka sasa Fujo ya Ma konda pale clouds sijaiona kwani inaonyesha walikuwa na uhusiano tangu kuanzia kumtafuta mzazi mwenzie na Gwajima hadi kumrekodi kama ndivyo uadui wa clouds hadi kushawishi wahariri wa habari kumgomea mkuu wa mkoa umeanzia wapi. Hivi ni kwa ajili ya ma konda kuingia na silaha clouds au kuna jingine???? Hebu acheni u ngada wenu bana
 
Umejitahidi sana kuandika
Ila kuna sehemu ulipoweka vya kwako nawe walikaa jmosi kuweka mkakati wa kumtoa b a s h I t e

Wewe utakuwa mashahidi wa kwanza dhidi ya shutuma ulizozitoa
 
Umekaa na suruali yako ya kitambaa na shati lako la draft la rangi ya vumbi ukaanza kuandika utumbo huu kwenye itel yako
 
Imebainika kuwa njama za kumtoa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe Paul ******* zilianza Bungeni kwa kuratibiwa na baadhi ya wabunge wanaohusishwa na mtandao wa dawa za kulevya.

Katika kudhibitisha hili, walifanya kikao Dodoma kilichohusisha baadhi ya wabunge na kukubaliana kuunganisha nguvu na wafanyabiashara na Viongozi wa Dini waliohusishwa na biashara ya Dawa za kulevya.

UTEKELEZAJI WAKE :-
1. Walikubaliana kuungana na baadhi ya viongozi wa ukawa ambao hapo awali walikuwa mahasimu wao kisiasa, zoezi lililoratibiwa na mbunge mmoja ambae ni mtoto wa kiongozi mstaafu, rejea picha za matukio mbalimbali wakati wa mechi ya simba na yanga (zoezi lilifanikiwa)

2. Kuwaunganisha kwenye mtandao wafanyabiashara wakubwa waliotajwa na ******* pamoja na kumuunganisha Askofu mmoja alietuhumiwa kujihusisha na mtandao wa dawa za kulevya, lengo la kuwaunganisha hawa ni kupata ufadhili wa fedha za kutosha, rejea kauli za baba askofu akidhibitisha kujizatiti kumuondoa ******* Dar (zoezi lilikamilika)

3. Kushawishi marafiki wakubwa wa ******* ambao walikuwa wakimsaidia ******* katika vita ya dawa za kulevya kwa kuwarubuni kumgeuka ******* na kuungana katika kambi yao kwa makubaliano kuwa ******* akiondoka Dar watashinikiza kupatikana kwa mkuu wa mkoa ambae atakuwa hana purukushani za dawa za kulevya, udhibitisho wa hili ni RUGE KUMGEUKA *******(zoezi limefanikiwa)

4. Kutumia baadhi ya mawaziri ambao watu wao walijeruhiwa kwenye kampeni za uchaguzi na kuwaingiza kwenye mtandao wa kumtoa ******* Dar, ushahidi wa hili ni alliance ya Mgombea wa Urais kutoka Lindi, mahusiano yake na waziri ambae amejitoa Muhanga kumpinga ******* hadharani.(zoezi lilikamilika tangu dodoma)

5. Kutengeneza tukio ambalo litamfanya ******* apate aibu mjini, kisha wamtake ******* aaibike, wakishapanga mtego mmoja ******* akaujuaga mida ya nyuna akukwepa, sasa hili tatizo la ******* kwenda CLOUDS usiku lilivyotokea wakaamua KUKANYAGIA HAPO HAPO.

6. Kuwashawishi baadhi ya wabunge wa chama tawala kutoa vitisho kama ******* hataondolewa kwenye ukuu wa mkoa basi watajiuzulu , ushahidi wa hili ni post ya face book ya mhe Kingu(zoezi lilifanikiwa)

HITIMISHO
-Jiulize tangu lini clouds na mmiliki wa ipp walishakuwa na mahusiano ya karibu kama juz?

- Jiulize tangu lini EFM na CLOUDS walishakuwa marafiki?

- Jiulize tangu lini Askofu alishawai kukaa karibu na CLOUDS?

- Jiulize tukio linalotajwa la uvamizi limetokea ijumaa, kelele zimeanza kupigwa Jumatatu hii ni baada ya hawa mabwana kukutana jumamosi na kufanya kikao cha pamoja jumaosi na jumapili hela ikatoka kanisani kwa askofu kwa kazi maalum Jumatatu.

-Jiulize hiyo jumatatu jamaa kafanya mahijiano live asubuhi, kisha saa nne asubuhi Mhe waziri anatinga CLOUDS akiwa na mzee wa ipp, na hapo hapo kamati ya huduma za bunge inakwenda CLOUDS mchana huo huo?

-Jiulize kwa nini wote wameshinikiza ******* aondolewe Dar?
Na mwisho kabisa, baada ya Mhe Rais Dkt. John Magufuli kustukia njama zao kutokana na kuwa na kikosi imara cha ujasusi katika maeneo mbalimbali akawabomoa LIVE bila chenga pale ubungo wakati wa uzinduzi wa mradi wa flyover.

TUKIDHANI WATAMUELEWA MHE RAIS WAMEGOMA NA KUMSHAWISHI MHE WAZIRI KUUNDA KAMATI WAKATI WANAJUA MHE RAIS AKISHAONGEA MJADALA UMEKWISHA, LAKINI WAO WAMEAMUA SASA KUPAMBANA NA NGUVU ZA MHE RAIS KWA KUSHINIKIZA BAADHI YA WABUNGE WAJIONDOE KWENYE NYADHIFA ZAO.

TUMEWAJUA NA TUTAPAMBANA TULIENI MTAONA.

Huyu mwandishi wa habari hii ni uchanga tu wa majukwa kama haya unamsumbua. Ndugu hapa sio Facebook wala sio TW wala si Whatups. Toa siasa zako hapa!!
 
Vyeti anavyo au hana?
Anatumia magari ya watuhumiwa wa ngada hatumii?
Kavamia kijeshi clouds au hajavamia?
Hizi ndo hoja mengine vihoja
 
So kwenda Clouds pia wakamtumia mapepo yalomvaa akajikuta tu kashafika clouds uongo? Kifupi post yako umeitunga vyema, japo umeweka vi dash dash vingi tujaze wenyewe, naona ulihisi sisi watabiri labda, sema haina ushawishi. Ipo simple sana, tushaona CCM na CHADEMA wakikaa meza moja kwny matatizo mfano misiba, ur points are too soft, nenda aafu rudi tena mkuu
 
Imebainika kuwa njama za kumtoa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe Paul ******* zilianza Bungeni kwa kuratibiwa na baadhi ya wabunge wanaohusishwa na mtandao wa dawa za kulevya.

Katika kudhibitisha hili, walifanya kikao Dodoma kilichohusisha baadhi ya wabunge na kukubaliana kuunganisha nguvu na wafanyabiashara na Viongozi wa Dini waliohusishwa na biashara ya Dawa za kulevya.

UTEKELEZAJI WAKE :-
1. Walikubaliana kuungana na baadhi ya viongozi wa ukawa ambao hapo awali walikuwa mahasimu wao kisiasa, zoezi lililoratibiwa na mbunge mmoja ambae ni mtoto wa kiongozi mstaafu, rejea picha za matukio mbalimbali wakati wa mechi ya simba na yanga (zoezi lilifanikiwa)

2. Kuwaunganisha kwenye mtandao wafanyabiashara wakubwa waliotajwa na ******* pamoja na kumuunganisha Askofu mmoja alietuhumiwa kujihusisha na mtandao wa dawa za kulevya, lengo la kuwaunganisha hawa ni kupata ufadhili wa fedha za kutosha, rejea kauli za baba askofu akidhibitisha kujizatiti kumuondoa ******* Dar (zoezi lilikamilika)

3. Kushawishi marafiki wakubwa wa ******* ambao walikuwa wakimsaidia ******* katika vita ya dawa za kulevya kwa kuwarubuni kumgeuka ******* na kuungana katika kambi yao kwa makubaliano kuwa ******* akiondoka Dar watashinikiza kupatikana kwa mkuu wa mkoa ambae atakuwa hana purukushani za dawa za kulevya, udhibitisho wa hili ni RUGE KUMGEUKA *******(zoezi limefanikiwa)

4. Kutumia baadhi ya mawaziri ambao watu wao walijeruhiwa kwenye kampeni za uchaguzi na kuwaingiza kwenye mtandao wa kumtoa ******* Dar, ushahidi wa hili ni alliance ya Mgombea wa Urais kutoka Lindi, mahusiano yake na waziri ambae amejitoa Muhanga kumpinga ******* hadharani.(zoezi lilikamilika tangu dodoma)

5. Kutengeneza tukio ambalo litamfanya ******* apate aibu mjini, kisha wamtake ******* aaibike, wakishapanga mtego mmoja ******* akaujuaga mida ya nyuna akukwepa, sasa hili tatizo la ******* kwenda CLOUDS usiku lilivyotokea wakaamua KUKANYAGIA HAPO HAPO.

6. Kuwashawishi baadhi ya wabunge wa chama tawala kutoa vitisho kama ******* hataondolewa kwenye ukuu wa mkoa basi watajiuzulu , ushahidi wa hili ni post ya face book ya mhe Kingu(zoezi lilifanikiwa)

HITIMISHO
-Jiulize tangu lini clouds na mmiliki wa ipp walishakuwa na mahusiano ya karibu kama juz?

- Jiulize tangu lini EFM na CLOUDS walishakuwa marafiki?

- Jiulize tangu lini Askofu alishawai kukaa karibu na CLOUDS?

- Jiulize tukio linalotajwa la uvamizi limetokea ijumaa, kelele zimeanza kupigwa Jumatatu hii ni baada ya hawa mabwana kukutana jumamosi na kufanya kikao cha pamoja jumaosi na jumapili hela ikatoka kanisani kwa askofu kwa kazi maalum Jumatatu.

-Jiulize hiyo jumatatu jamaa kafanya mahijiano live asubuhi, kisha saa nne asubuhi Mhe waziri anatinga CLOUDS akiwa na mzee wa ipp, na hapo hapo kamati ya huduma za bunge inakwenda CLOUDS mchana huo huo?

-Jiulize kwa nini wote wameshinikiza ******* aondolewe Dar?
Na mwisho kabisa, baada ya Mhe Rais Dkt. John Magufuli kustukia njama zao kutokana na kuwa na kikosi imara cha ujasusi katika maeneo mbalimbali akawabomoa LIVE bila chenga pale ubungo wakati wa uzinduzi wa mradi wa flyover.

TUKIDHANI WATAMUELEWA MHE RAIS WAMEGOMA NA KUMSHAWISHI MHE WAZIRI KUUNDA KAMATI WAKATI WANAJUA MHE RAIS AKISHAONGEA MJADALA UMEKWISHA, LAKINI WAO WAMEAMUA SASA KUPAMBANA NA NGUVU ZA MHE RAIS KWA KUSHINIKIZA BAADHI YA WABUNGE WAJIONDOE KWENYE NYADHIFA ZAO.

TUMEWAJUA NA TUTAPAMBANA TULIENI MTAONA.
Akina Bashite mko wengi
 
Kaka hata uandikaje.... rc amefanya makosa makubwa sana kuingia clouds kwa style ile..
Hata kama mkuu anamtetea lakin taswira yake kwenye jamii inayo mzunguka ni mbaya....
 
Sakata hili haliitaji kuunganisha dots ,ni suala la muda tu kila kitu kitakuwa sawa.
Cha kufanya ni kuacha mamlaka zijiwajibishe zenyewe na hapo ndipo wananchi wanyonge watakapo nufaika na keki ya Taifa.
Kujisahihisha sio jambo la muda mfupi ni jambo endelevu linalohitaji utulivu,busara na wakati mwingine uchungu usio kifani.
Ni wakati wa kijisahihisha,na kujisahihisha huku sio lazima kufuate sheria kwani pengine ni sheria hizi hizi ndizo zilizotufanya kupotea na kusahau tumetoka wapi.
 
Umeeleweka na bado tutaendelea kuamini kua tatizo sio makonda ila wauza ngada wa tz.
 
Back
Top Bottom