Huu ni umafia dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar

Mkuu unaakili sana aisee hongera sana ,wauza drugs hawana jipya wana wayawaya tu sahv
 
Hivi Kitwanga nae aliwekewa zengwe ili aachie uwaziri

Hivi Mama Kilango nae alitegwa anyanganywe ukuu wa mkoa?

Binadamu hukosea (natural phenomena), hujisahihisha na hujifunza kutokana na makosa

Hivi Makonda ni Malaika? Kama sio je hakosei? Je kama anakosea hawezi kuathibiwa kama wengine?

Hivi wanaouza madawa ndio waliompatia vyeti fake? Ndio waliomwambia apate zero? Ndio waliomwambia aende Clouds na polisi usiku?

Kwa nature ya binadamu kukosea kupo........ Basi wasimlaumu yeyote zaidi ya kuilaumu nafsi yake.

Tkumbuke pia maaduzi zetu hufurahia pale tunapoanguka (natural phenomena) hivyo kama kuna wanaofurahia makosa ya makonda sio shida na wala sio jambo la ajabu au geni duniani.
 
Wakati naanza kusoma nilianza kukuelewa taratibu, lakini kwenye namba tatu ndo umekunya kabisa, kisha ukasababisha credibility ya namba 1 na mbili kuwa zero. LAKINI hongera umefanya kazi nzuri ya kuangalia kwa different angle lakini bado haiwezi kuwa relevant.
 
Hauaminiki tena wewe na Sizonje na tabia yenu ya kufoji Mambo!
-Jina lako feki
-Ukaandaa video feki ya kumchafua Gwajima
-Kadi ya kliniki feki
-List ya wauza unga feki
Unataka uaminike tena!!
Rudi tu kwenu Kolomichato
 
Imebainika kuwa njama za kumtoa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe Paul Makonda zilianza Bungeni kwa kuratibiwa na baadhi ya wabunge wanaohusishwa na mtandao wa dawa za kulevya.

Katika kudhibitisha hili, walifanya kikao Dodoma kilichohusisha baadhi ya wabunge na kukubaliana kuunganisha nguvu na wafanyabiashara na Viongozi wa Dini waliohusishwa na biashara ya Dawa za kulevya.

UTEKELEZAJI WAKE :-
1. Walikubaliana kuungana na baadhi ya viongozi wa ukawa ambao hapo awali walikuwa mahasimu wao kisiasa, zoezi lililoratibiwa na mbunge mmoja ambae ni mtoto wa kiongozi mstaafu, rejea picha za matukio mbalimbali wakati wa mechi ya simba na yanga (zoezi lilifanikiwa)

2. Kuwaunganisha kwenye mtandao wafanyabiashara wakubwa waliotajwa na Makonda pamoja na kumuunganisha Askofu mmoja alietuhumiwa kujihusisha na mtandao wa dawa za kulevya, lengo la kuwaunganisha hawa ni kupata ufadhili wa fedha za kutosha, rejea kauli za baba askofu akidhibitisha kujizatiti kumuondoa Makonda Dar (zoezi lilikamilika)

3. Kushawishi marafiki wakubwa wa makonda ambao walikuwa wakimsaidia Makonda katika vita ya dawa za kulevya kwa kuwarubuni kumgeuka makonda na kuungana katika kambi yao kwa makubaliano kuwa makonda akiondoka Dar watashinikiza kupatikana kwa mkuu wa mkoa ambae atakuwa hana purukushani za dawa za kulevya, udhibitisho wa hili ni RUGE KUMGEUKA MAKONDA(zoezi limefanikiwa)

4. Kutumia baadhi ya mawaziri ambao watu wao walijeruhiwa kwenye kampeni za uchaguzi na kuwaingiza kwenye mtandao wa kumtoa Makonda Dar, ushahidi wa hili ni alliance ya Mgombea wa Urais kutoka Lindi, mahusiano yake na waziri ambae amejitoa Muhanga kumpinga Makonda hadharani.(zoezi lilikamilika tangu dodoma)

5. Kutengeneza tukio ambalo litamfanya makonda apate aibu mjini, kisha wamtake makonda aaibike, wakishapanga mtego mmoja makonda akaujuaga mida ya nyuna akukwepa, sasa hili tatizo la makonda kwenda CLOUDS usiku lilivyotokea wakaamua KUKANYAGIA HAPO HAPO.

6. Kuwashawishi baadhi ya wabunge wa chama tawala kutoa vitisho kama Makonda hataondolewa kwenye ukuu wa mkoa basi watajiuzulu , ushahidi wa hili ni post ya face book ya mhe Kingu(zoezi lilifanikiwa)

HITIMISHO
-Jiulize tangu lini clouds na mmiliki wa ipp walishakuwa na mahusiano ya karibu kama juz?

- Jiulize tangu lini EFM na CLOUDS walishakuwa marafiki?

- Jiulize tangu lini Askofu alishawai kukaa karibu na CLOUDS?

- Jiulize tukio linalotajwa la uvamizi limetokea ijumaa, kelele zimeanza kupigwa Jumatatu hii ni baada ya hawa mabwana kukutana jumamosi na kufanya kikao cha pamoja jumaosi na jumapili hela ikatoka kanisani kwa askofu kwa kazi maalum Jumatatu.

-Jiulize hiyo jumatatu jamaa kafanya mahijiano live asubuhi, kisha saa nne asubuhi Mhe waziri anatinga CLOUDS akiwa na mzee wa ipp, na hapo hapo kamati ya huduma za bunge inakwenda CLOUDS mchana huo huo?

-Jiulize kwa nini wote wameshinikiza Makonda aondolewe Dar?
Na mwisho kabisa, baada ya Mhe Rais Dkt. John Magufuli kustukia njama zao kutokana na kuwa na kikosi imara cha ujasusi katika maeneo mbalimbali akawabomoa LIVE bila chenga pale ubungo wakati wa uzinduzi wa mradi wa flyover.

TUKIDHANI WATAMUELEWA MHE RAIS WAMEGOMA NA KUMSHAWISHI MHE WAZIRI KUUNDA KAMATI WAKATI WANAJUA MHE RAIS AKISHAONGEA MJADALA UMEKWISHA, LAKINI WAO WAMEAMUA SASA KUPAMBANA NA NGUVU ZA MHE RAIS KWA KUSHINIKIZA BAADHI YA WABUNGE WAJIONDOE KWENYE NYADHIFA ZAO.

TUMEWAJUA NA TUTAPAMBANA TULIENI MTAONA.
Hawawezi kushinda hii vita wanajidanganya na watakaa sana na hivyo vikao vyao.
 
Ukisoma kwa makini ukweli unaonekana kabisa. Kweli mabwana wa madawa ya kulevya wananguvu sana. Wanapitia hata makanisani. Nilikuwa najiuliza mara kwa maraswali hili. Je ni Ruge huyu huyu wa Clouds leo anamsaliti Makonda? Ila ukifuatilia ya Ridhiwani leo unaona kiunganishi cha habari
 
Hii movie ni low quality sana rudi studio
Huwezi kuchukua matukio yaliyokwishwa tokea kisha unayatolea unabii ungesema kabla hayajatokea walau yangekuwa na mashiko
 
Haya tumekusikia lakini pakuanzia ni hapo kwenye vyeti Makonda aonyeshe vyeti vyake na then aseme ukweli kuhusu haya ya BASHITE ataaminika 100% kuwa anaandamwa for no good reasons.
 
Jinga kabisa wewe hivi kwa akili zenu,mnadhani mtu mpaka kujua kutumia smartphone akafungua email adress akajiunga na mtandao wa jamii forum.mnadhani bado ni vilaza ambao hatuwezi kujua ukweli wa mambo.msipende kuficha maovu kwa kisiangizio cha maendeleo na vita ya dawa ya kulevya.kwa taarifa yenu humu watu aslimia 90 ni watu wenye akili pevu sana.kuliko huyo aliekwenda bila tafakuri kuwa pale kuna kamera za CCTV
 
Back
Top Bottom