Huu ni umafia dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar

Poor analysis from narrow minded & closed informer, em toka hapa
 
One among the types of government is Dictatorship government
 
Kukuwazabanga: Nasikia na wewe ulisoma Koromije. Hii shule ina laana. Wenye watoto bado wanasoma shule hii wawahamishe haraka maana cheti chochote kitakachokuwa na jina hilo huko mbeleni kitaonekana ni cha kufoji na kina picha mbaya kwelikweli.
 
Imebainika kuwa njama za kumtoa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe Paul Makonda zilianza Bungeni kwa kuratibiwa na baadhi ya wabunge wanaohusishwa na mtandao wa dawa za kulevya.

Katika kudhibitisha hili, walifanya kikao Dodoma kilichohusisha baadhi ya wabunge na kukubaliana kuunganisha nguvu na wafanyabiashara na Viongozi wa Dini waliohusishwa na biashara ya Dawa za kulevya.

UTEKELEZAJI WAKE :-
1. Walikubaliana kuungana na baadhi ya viongozi wa ukawa ambao hapo awali walikuwa mahasimu wao kisiasa, zoezi lililoratibiwa na mbunge mmoja ambae ni mtoto wa kiongozi mstaafu, rejea picha za matukio mbalimbali wakati wa mechi ya simba na yanga (zoezi lilifanikiwa)

2. Kuwaunganisha kwenye mtandao wafanyabiashara wakubwa waliotajwa na Makonda pamoja na kumuunganisha Askofu mmoja alietuhumiwa kujihusisha na mtandao wa dawa za kulevya, lengo la kuwaunganisha hawa ni kupata ufadhili wa fedha za kutosha, rejea kauli za baba askofu akidhibitisha kujizatiti kumuondoa Makonda Dar (zoezi lilikamilika)

3. Kushawishi marafiki wakubwa wa makonda ambao walikuwa wakimsaidia Makonda katika vita ya dawa za kulevya kwa kuwarubuni kumgeuka makonda na kuungana katika kambi yao kwa makubaliano kuwa makonda akiondoka Dar watashinikiza kupatikana kwa mkuu wa mkoa ambae atakuwa hana purukushani za dawa za kulevya, udhibitisho wa hili ni RUGE KUMGEUKA MAKONDA(zoezi limefanikiwa)

4. Kutumia baadhi ya mawaziri ambao watu wao walijeruhiwa kwenye kampeni za uchaguzi na kuwaingiza kwenye mtandao wa kumtoa Makonda Dar, ushahidi wa hili ni alliance ya Mgombea wa Urais kutoka Lindi, mahusiano yake na waziri ambae amejitoa Muhanga kumpinga Makonda hadharani.(zoezi lilikamilika tangu dodoma)

5. Kutengeneza tukio ambalo litamfanya makonda apate aibu mjini, kisha wamtake makonda aaibike, wakishapanga mtego mmoja makonda akaujuaga mida ya nyuna akukwepa, sasa hili tatizo la makonda kwenda CLOUDS usiku lilivyotokea wakaamua KUKANYAGIA HAPO HAPO.

6. Kuwashawishi baadhi ya wabunge wa chama tawala kutoa vitisho kama Makonda hataondolewa kwenye ukuu wa mkoa basi watajiuzulu , ushahidi wa hili ni post ya face book ya mhe Kingu(zoezi lilifanikiwa)

HITIMISHO
-Jiulize tangu lini clouds na mmiliki wa ipp walishakuwa na mahusiano ya karibu kama juz?

- Jiulize tangu lini EFM na CLOUDS walishakuwa marafiki?

- Jiulize tangu lini Askofu alishawai kukaa karibu na CLOUDS?

- Jiulize tukio linalotajwa la uvamizi limetokea ijumaa, kelele zimeanza kupigwa Jumatatu hii ni baada ya hawa mabwana kukutana jumamosi na kufanya kikao cha pamoja jumaosi na jumapili hela ikatoka kanisani kwa askofu kwa kazi maalum Jumatatu.

-Jiulize hiyo jumatatu jamaa kafanya mahijiano live asubuhi, kisha saa nne asubuhi Mhe waziri anatinga CLOUDS akiwa na mzee wa ipp, na hapo hapo kamati ya huduma za bunge inakwenda CLOUDS mchana huo huo?

-Jiulize kwa nini wote wameshinikiza Makonda aondolewe Dar?
Na mwisho kabisa, baada ya Mhe Rais Dkt. John Magufuli kustukia njama zao kutokana na kuwa na kikosi imara cha ujasusi katika maeneo mbalimbali akawabomoa LIVE bila chenga pale ubungo wakati wa uzinduzi wa mradi wa flyover.

TUKIDHANI WATAMUELEWA MHE RAIS WAMEGOMA NA KUMSHAWISHI MHE WAZIRI KUUNDA KAMATI WAKATI WANAJUA MHE RAIS AKISHAONGEA MJADALA UMEKWISHA, LAKINI WAO WAMEAMUA SASA KUPAMBANA NA NGUVU ZA MHE RAIS KWA KUSHINIKIZA BAADHI YA WABUNGE WAJIONDOE KWENYE NYADHIFA ZAO.

TUMEWAJUA NA TUTAPAMBANA TULIENI MTAONA.
Acha kulialia wewe weka vyeti mezani jambo hili liishe.
Kipi rahisi kuweka vyeti au kubeba askari wenye siraha na kwenda clouds?
Bila shaka ni kuonyesha vyeti.
Sasa kama anfanya jambo kubwa la kubeba askari anashindwaje jambo dogo la kuonyesha vyeti hao wabaya wake waaibike?
Usituchanganye bwana leta vyeti tuwazomee.
 
Ndugu mimi niweke wazi ni Mwanachama wa Ccm na nimekuwa nikikitetea chama humu mitandaoni miaka mingi sana lakini haina Ubishi jamaa alichokifanya Clouds ni cha hovyo. Na msilihusishe hili na hayo mambo ya madawa, jamaa hakutuliza kichwa vizuri. Hata mkiamua kupambana nao mtashindwa na hii demage iliyopatikana kupitia hili tukio ni mbaya na kinachosikitisha zaidi jambo hili la hovyo limemchafua hadi Mkuu Number one.

Watu wamevunjika sana moyo hata kama mtaamua kulifumbia macho hili, ni heri hata Bwana mkubwa angekaa kimya kama sio kumuonya jamaa na jamaa kuomba radhi kiungwana. Nchi yetu haijafikia hatua ya Kiongozi kwenda na bunduki kwenye media, haijafikia kuwa na viongozi viburi wenye kujikweza kiasi hiki.

Mimi ni mwanachama Wa Ccm kwa miaka karibu 20 sasa lakini katika kipindi chote hiko sijawahi kuona watu wenye mapenzi ya kweli na chama ninaowajua wamepigwa na butwaa kama nilivyowaona wiki hii.
 
Imebainika kuwa njama za kumtoa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe Paul Makonda zilianza Bungeni kwa kuratibiwa na baadhi ya wabunge wanaohusishwa na mtandao wa dawa za kulevya.

Katika kudhibitisha hili, walifanya kikao Dodoma kilichohusisha baadhi ya wabunge na kukubaliana kuunganisha nguvu na wafanyabiashara na Viongozi wa Dini waliohusishwa na biashara ya Dawa za kulevya.

UTEKELEZAJI WAKE :-
1. Walikubaliana kuungana na baadhi ya viongozi wa ukawa ambao hapo awali walikuwa mahasimu wao kisiasa, zoezi lililoratibiwa na mbunge mmoja ambae ni mtoto wa kiongozi mstaafu, rejea picha za matukio mbalimbali wakati wa mechi ya simba na yanga (zoezi lilifanikiwa)

2. Kuwaunganisha kwenye mtandao wafanyabiashara wakubwa waliotajwa na Makonda pamoja na kumuunganisha Askofu mmoja alietuhumiwa kujihusisha na mtandao wa dawa za kulevya, lengo la kuwaunganisha hawa ni kupata ufadhili wa fedha za kutosha, rejea kauli za baba askofu akidhibitisha kujizatiti kumuondoa Makonda Dar (zoezi lilikamilika)

3. Kushawishi marafiki wakubwa wa makonda ambao walikuwa wakimsaidia Makonda katika vita ya dawa za kulevya kwa kuwarubuni kumgeuka makonda na kuungana katika kambi yao kwa makubaliano kuwa makonda akiondoka Dar watashinikiza kupatikana kwa mkuu wa mkoa ambae atakuwa hana purukushani za dawa za kulevya, udhibitisho wa hili ni RUGE KUMGEUKA MAKONDA(zoezi limefanikiwa)

4. Kutumia baadhi ya mawaziri ambao watu wao walijeruhiwa kwenye kampeni za uchaguzi na kuwaingiza kwenye mtandao wa kumtoa Makonda Dar, ushahidi wa hili ni alliance ya Mgombea wa Urais kutoka Lindi, mahusiano yake na waziri ambae amejitoa Muhanga kumpinga Makonda hadharani.(zoezi lilikamilika tangu dodoma)

5. Kutengeneza tukio ambalo litamfanya makonda apate aibu mjini, kisha wamtake makonda aaibike, wakishapanga mtego mmoja makonda akaujuaga mida ya nyuna akukwepa, sasa hili tatizo la makonda kwenda CLOUDS usiku lilivyotokea wakaamua KUKANYAGIA HAPO HAPO.

6. Kuwashawishi baadhi ya wabunge wa chama tawala kutoa vitisho kama Makonda hataondolewa kwenye ukuu wa mkoa basi watajiuzulu , ushahidi wa hili ni post ya face book ya mhe Kingu(zoezi lilifanikiwa)

HITIMISHO
-Jiulize tangu lini clouds na mmiliki wa ipp walishakuwa na mahusiano ya karibu kama juz?

- Jiulize tangu lini EFM na CLOUDS walishakuwa marafiki?

- Jiulize tangu lini Askofu alishawai kukaa karibu na CLOUDS?

- Jiulize tukio linalotajwa la uvamizi limetokea ijumaa, kelele zimeanza kupigwa Jumatatu hii ni baada ya hawa mabwana kukutana jumamosi na kufanya kikao cha pamoja jumaosi na jumapili hela ikatoka kanisani kwa askofu kwa kazi maalum Jumatatu.

-Jiulize hiyo jumatatu jamaa kafanya mahijiano live asubuhi, kisha saa nne asubuhi Mhe waziri anatinga CLOUDS akiwa na mzee wa ipp, na hapo hapo kamati ya huduma za bunge inakwenda CLOUDS mchana huo huo?

-Jiulize kwa nini wote wameshinikiza Makonda aondolewe Dar?
Na mwisho kabisa, baada ya Mhe Rais Dkt. John Magufuli kustukia njama zao kutokana na kuwa na kikosi imara cha ujasusi katika maeneo mbalimbali akawabomoa LIVE bila chenga pale ubungo wakati wa uzinduzi wa mradi wa flyover.

TUKIDHANI WATAMUELEWA MHE RAIS WAMEGOMA NA KUMSHAWISHI MHE WAZIRI KUUNDA KAMATI WAKATI WANAJUA MHE RAIS AKISHAONGEA MJADALA UMEKWISHA, LAKINI WAO WAMEAMUA SASA KUPAMBANA NA NGUVU ZA MHE RAIS KWA KUSHINIKIZA BAADHI YA WABUNGE WAJIONDOE KWENYE NYADHIFA ZAO.

TUMEWAJUA NA TUTAPAMBANA TULIENI MTAONA.

Zero in the paper translates zero in the brain.#0000000#
 
1. Zamani tuliambiwa Urais ni taasisi kumbe ni uongo mtupu. Ina maana Urais huwa unakuwa ni taasisi kwa baadhi ya marais tu? Mbona huyu katuambia kila kitu anaamua yeye peke yake bila kushauriwa na mtu yeyote?

2. Zamani tuliambiwa hakuna aliyemkubwa kuliko Chama, hasa CCM ndio umekuwa msemo wao mashuhuri. Kumbe ni uongo mtupu! Kama ni kweli mbona juzi Mzee kasema chama hakikumsaidia chochote ila ni kwa juhudi zake tu ndizo zilimfanikisha kuwa hapo alipo. Alichukua yeye fomu ya kugombea akajipitisha mwenyewe, yaani hakuna kikao kilichompitisha wala mtu aliyempigia kampeni. Alishinda kwa nguvu zake. Kama si kweli mbona chama hakijakanusha na kueleza ushiriki wake kuwezesha huyu mtu kuwa hapo alipo?
 
umerudia haya maelezo japo si vibaya.....
unajua kila mtu ana dhana yake japo sio dhana zote zina maana,,mfano ukiambiwa 'pua imechongoka ili miwani ipate mahali pa kukaa' utakubali dhana hiyo.. japo pua ilikuwepo kabla ya kugunduliwa miwani!
Ni kweli kabisa.
Dhana ziko maelfu kwa maelfu.
Kila mmoja wetu anaweza kuibuka na dhana yake lakini ukweli unasalia kuwa MMOJA TU.
Sasa hivi kuna watu wanaibuka na conspiracy theories za ajabu.
ETI MAKONDA KASINGIZIWA TUKIO LA IJUMAA USIKU!!!
Tanzania ya viwanda inawezekana kwa style hii. Na kama akili zetu ndio hizi, nina hakika tayari sasa hivi Tanzania ni Industrialized country, maana ni mwendo wa dhana tu.
 
Acha upuuzi,vyeti kwanza hapa.
Dar inaongozwa na kilaza
 
Kwahiyo unataka kutuambia wauza ngada ndio walimshinikiza akavamie pale redioni?
Labda walimlisha ngada akajikuta anavamia clouds akiwa katika "trance" au kama "sleepwalker"
Maana vinginevyo siielewi hoja ya watu hawa.
Na wanaibuka sana hivi karibuni wenye theory kama hiyo.
 
Imebainika kuwa njama za kumtoa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe Paul Makonda zilianza Bungeni kwa kuratibiwa na baadhi ya wabunge wanaohusishwa na mtandao wa dawa za kulevya.

Katika kudhibitisha hili, walifanya kikao Dodoma kilichohusisha baadhi ya wabunge na kukubaliana kuunganisha nguvu na wafanyabiashara na Viongozi wa Dini waliohusishwa na biashara ya Dawa za kulevya.

UTEKELEZAJI WAKE :-
1. Walikubaliana kuungana na baadhi ya viongozi wa ukawa ambao hapo awali walikuwa mahasimu wao kisiasa, zoezi lililoratibiwa na mbunge mmoja ambae ni mtoto wa kiongozi mstaafu, rejea picha za matukio mbalimbali wakati wa mechi ya simba na yanga (zoezi lilifanikiwa)

2. Kuwaunganisha kwenye mtandao wafanyabiashara wakubwa waliotajwa na Makonda pamoja na kumuunganisha Askofu mmoja alietuhumiwa kujihusisha na mtandao wa dawa za kulevya, lengo la kuwaunganisha hawa ni kupata ufadhili wa fedha za kutosha, rejea kauli za baba askofu akidhibitisha kujizatiti kumuondoa Makonda Dar (zoezi lilikamilika)

3. Kushawishi marafiki wakubwa wa makonda ambao walikuwa wakimsaidia Makonda katika vita ya dawa za kulevya kwa kuwarubuni kumgeuka makonda na kuungana katika kambi yao kwa makubaliano kuwa makonda akiondoka Dar watashinikiza kupatikana kwa mkuu wa mkoa ambae atakuwa hana purukushani za dawa za kulevya, udhibitisho wa hili ni RUGE KUMGEUKA MAKONDA(zoezi limefanikiwa)

4. Kutumia baadhi ya mawaziri ambao watu wao walijeruhiwa kwenye kampeni za uchaguzi na kuwaingiza kwenye mtandao wa kumtoa Makonda Dar, ushahidi wa hili ni alliance ya Mgombea wa Urais kutoka Lindi, mahusiano yake na waziri ambae amejitoa Muhanga kumpinga Makonda hadharani.(zoezi lilikamilika tangu dodoma)

5. Kutengeneza tukio ambalo litamfanya makonda apate aibu mjini, kisha wamtake makonda aaibike, wakishapanga mtego mmoja makonda akaujuaga mida ya nyuna akukwepa, sasa hili tatizo la makonda kwenda CLOUDS usiku lilivyotokea wakaamua KUKANYAGIA HAPO HAPO.

6. Kuwashawishi baadhi ya wabunge wa chama tawala kutoa vitisho kama Makonda hataondolewa kwenye ukuu wa mkoa basi watajiuzulu , ushahidi wa hili ni post ya face book ya mhe Kingu(zoezi lilifanikiwa)

HITIMISHO
-Jiulize tangu lini clouds na mmiliki wa ipp walishakuwa na mahusiano ya karibu kama juz?

- Jiulize tangu lini EFM na CLOUDS walishakuwa marafiki?

- Jiulize tangu lini Askofu alishawai kukaa karibu na CLOUDS?

- Jiulize tukio linalotajwa la uvamizi limetokea ijumaa, kelele zimeanza kupigwa Jumatatu hii ni baada ya hawa mabwana kukutana jumamosi na kufanya kikao cha pamoja jumaosi na jumapili hela ikatoka kanisani kwa askofu kwa kazi maalum Jumatatu.

-Jiulize hiyo jumatatu jamaa kafanya mahijiano live asubuhi, kisha saa nne asubuhi Mhe waziri anatinga CLOUDS akiwa na mzee wa ipp, na hapo hapo kamati ya huduma za bunge inakwenda CLOUDS mchana huo huo?

-Jiulize kwa nini wote wameshinikiza Makonda aondolewe Dar?
Na mwisho kabisa, baada ya Mhe Rais Dkt. John Magufuli kustukia njama zao kutokana na kuwa na kikosi imara cha ujasusi katika maeneo mbalimbali akawabomoa LIVE bila chenga pale ubungo wakati wa uzinduzi wa mradi wa flyover.

TUKIDHANI WATAMUELEWA MHE RAIS WAMEGOMA NA KUMSHAWISHI MHE WAZIRI KUUNDA KAMATI WAKATI WANAJUA MHE RAIS AKISHAONGEA MJADALA UMEKWISHA, LAKINI WAO WAMEAMUA SASA KUPAMBANA NA NGUVU ZA MHE RAIS KWA KUSHINIKIZA BAADHI YA WABUNGE WAJIONDOE KWENYE NYADHIFA ZAO.

TUMEWAJUA NA TUTAPAMBANA TULIENI MTAONA.
Mnazo mahakama mmeshindwaje kuwaburuza mahakamani ?

Anayofanya makonda yanakufarahisha?

Watumishi mnawanyanyasa mwaka wa pili sasa madaraja na stahiki zao hamjalipa alafu mmekalia udaku. Kwa nini?

Kila siku mmnawaimbia watumishi wimbo wa vyeti feki na mmewafukuza
Kwa nini mmnakuwa wabaguzi?
Hivi sheria ina kona?
 
Mafia ni ngosha na Bashite kutisha shilawadu na bunduki ili wachukue kiflashi chao uchwara kilichododa.
 
Imebainika kuwa njama za kumtoa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe Paul ******* zilianza Bungeni kwa kuratibiwa na baadhi ya wabunge wanaohusishwa na mtandao wa dawa za kulevya.

Katika kudhibitisha hili, walifanya kikao Dodoma kilichohusisha baadhi ya wabunge na kukubaliana kuunganisha nguvu na wafanyabiashara na Viongozi wa Dini waliohusishwa na biashara ya Dawa za kulevya.

UTEKELEZAJI WAKE :-
1. Walikubaliana kuungana na baadhi ya viongozi wa ukawa ambao hapo awali walikuwa mahasimu wao kisiasa, zoezi lililoratibiwa na mbunge mmoja ambae ni mtoto wa kiongozi mstaafu, rejea picha za matukio mbalimbali wakati wa mechi ya simba na yanga (zoezi lilifanikiwa)

2. Kuwaunganisha kwenye mtandao wafanyabiashara wakubwa waliotajwa na ******* pamoja na kumuunganisha Askofu mmoja alietuhumiwa kujihusisha na mtandao wa dawa za kulevya, lengo la kuwaunganisha hawa ni kupata ufadhili wa fedha za kutosha, rejea kauli za baba askofu akidhibitisha kujizatiti kumuondoa ******* Dar (zoezi lilikamilika)

3. Kushawishi marafiki wakubwa wa ******* ambao walikuwa wakimsaidia ******* katika vita ya dawa za kulevya kwa kuwarubuni kumgeuka ******* na kuungana katika kambi yao kwa makubaliano kuwa ******* akiondoka Dar watashinikiza kupatikana kwa mkuu wa mkoa ambae atakuwa hana purukushani za dawa za kulevya, udhibitisho wa hili ni RUGE KUMGEUKA *******(zoezi limefanikiwa)

4. Kutumia baadhi ya mawaziri ambao watu wao walijeruhiwa kwenye kampeni za uchaguzi na kuwaingiza kwenye mtandao wa kumtoa ******* Dar, ushahidi wa hili ni alliance ya Mgombea wa Urais kutoka Lindi, mahusiano yake na waziri ambae amejitoa Muhanga kumpinga ******* hadharani.(zoezi lilikamilika tangu dodoma)

5. Kutengeneza tukio ambalo litamfanya ******* apate aibu mjini, kisha wamtake ******* aaibike, wakishapanga mtego mmoja ******* akaujuaga mida ya nyuna akukwepa, sasa hili tatizo la ******* kwenda CLOUDS usiku lilivyotokea wakaamua KUKANYAGIA HAPO HAPO.

6. Kuwashawishi baadhi ya wabunge wa chama tawala kutoa vitisho kama ******* hataondolewa kwenye ukuu wa mkoa basi watajiuzulu , ushahidi wa hili ni post ya face book ya mhe Kingu(zoezi lilifanikiwa)

HITIMISHO
-Jiulize tangu lini clouds na mmiliki wa ipp walishakuwa na mahusiano ya karibu kama juz?

- Jiulize tangu lini EFM na CLOUDS walishakuwa marafiki?

- Jiulize tangu lini Askofu alishawai kukaa karibu na CLOUDS?

- Jiulize tukio linalotajwa la uvamizi limetokea ijumaa, kelele zimeanza kupigwa Jumatatu hii ni baada ya hawa mabwana kukutana jumamosi na kufanya kikao cha pamoja jumaosi na jumapili hela ikatoka kanisani kwa askofu kwa kazi maalum Jumatatu.

-Jiulize hiyo jumatatu jamaa kafanya mahijiano live asubuhi, kisha saa nne asubuhi Mhe waziri anatinga CLOUDS akiwa na mzee wa ipp, na hapo hapo kamati ya huduma za bunge inakwenda CLOUDS mchana huo huo?

-Jiulize kwa nini wote wameshinikiza ******* aondolewe Dar?
Na mwisho kabisa, baada ya Mhe Rais Dkt. John Magufuli kustukia njama zao kutokana na kuwa na kikosi imara cha ujasusi katika maeneo mbalimbali akawabomoa LIVE bila chenga pale ubungo wakati wa uzinduzi wa mradi wa flyover.

TUKIDHANI WATAMUELEWA MHE RAIS WAMEGOMA NA KUMSHAWISHI MHE WAZIRI KUUNDA KAMATI WAKATI WANAJUA MHE RAIS AKISHAONGEA MJADALA UMEKWISHA, LAKINI WAO WAMEAMUA SASA KUPAMBANA NA NGUVU ZA MHE RAIS KWA KUSHINIKIZA BAADHI YA WABUNGE WAJIONDOE KWENYE NYADHIFA ZAO.

TUMEWAJUA NA TUTAPAMBANA TULIENI MTAONA.

UHUNI TU, MTU MZIMA UNAKAAJE UKAANDIKA HAYA. NANI KASEMA ATOKE? TUNATAKA VYETI NA WATUJIBU TUHUMA ZA WALE WA MADAWA, BASI. MTU MZIMA UNAWEZAJE ACHA ONGELEA YOTE HAYO UNABAKIA UMBEA TU??????
 
Kwa hiyo hapa neno makonda tayari lilishazuiwa naona vidotidoti hapo? hahahahahahahahahahahaaa
 
Labda walimlisha ngada akajikuta anavamia clouds akiwa katika "trance" au kama "sleepwalker"
Maana vinginevyo siielewi hoja ya watu hawa.
Na wanaibuka sana hivi karibuni wenye theory kama hiyo.

Propaganda za kitoto tu, kwenye hili hadi wana Ccm limewachukiza
 
Back
Top Bottom