Wisest man
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 993
- 333
Ndo nn xaxa kuja kuniumbua huku? cunajua swagga tena...🙂🙂Alikuja mtu kama huyo pm. Sikuweza hata kumjibu.
Tok hp n swag xacoNdo nn xaxa kuja kuniumbua huku? cunajua swagga tena...🙂🙂
hahahahah ctok!Tok hp n swag xaco
xaxa ni kifupi cha nini?Nadhani shida ipo katika kufupisha maneno ya kiswahili. Hatuna mfumo mzuri wa kufupisha maneno, hasa maneno marefu. Kuna lugha nafahamu wao wanafupisha maneno yao, na inakubalika kabisa kwenye jamii. Mf, neno "kiswahili" - "k-hili", "mtangazaji" - " mt-zaji"..etc. Na inawezekana lugha yetu hairuhusu kufupisha maneno, lakini kuandika xaxa, xo ...mmh
Eti ndio kumaanisha 'sasa'.xaxa ni kifupi cha nini?
Mimi wananichosha tu maana xaxa kwangu ni ksaksa shida yote ya nini?Xaxa- Sasa...xorry- sorry...ata sioni kifupi hapo,swagga hizi dah