Huu ni ukweli, kama unabisha jitokeze hadharani

Huu ni ukweli, kama unabisha jitokeze hadharani

Hebu ngoja nifanye experiment kwa namba ya mama mwenye nyumba
 
mi nina line mbili alafu zote zinaishia na tatu :biggrin1: what a coincidence
 
Hakuna ukweli,mambo ya kubahatisha tu
 
Urongo mtupu!
Kuna watu wana line hadi nne na zinaishia namba tofauti tofauti.
 
Uwongo mtupu, bora hata ungetumia calender zakuzaliwa labda kidogo ungeeleweka, lakini haya mambo ya namba za simu niowongo tena utapeli kabisa, au na wewe unajaribu kujifanya marehemu sheikh yahya? Wacha mambo yako wewe
 
If your phone number ends wit
0- u are a trouble maker
1- u are very kind
2- u are very funny
3- u are intelliGent
4- u are sincere 5- u are careless
6- u are neat
7- u are handsome/ beautiful
8- u are straiGht forward
9- u are shy.
Which one are U ?

nina line Nne. moja inaishia na 5 ambayo haipo kwenye list yako. huu utafiti unafaa Facebook
 
If your phone number ends wit
0- u are a trouble maker
1- u are very kind
2- u are very funny
3- u are intelliGent
4- u are sincere 5- u are careless
6- u are neat
7- u are handsome/ beautiful
8- u are straiGht forward
9- u are shy.
Which one are U ?

0 trouble maker lol
 
Hivi namba za simu tunazipataje? Umajipangia au unakuta tayari zinauzwa ndipo unaibua?
 
Back
Top Bottom