Huu ni ukristo?

Status
Not open for further replies.

fukunyungu

JF-Expert Member
May 16, 2011
717
194
wakuu, napenda kufaham kwa mwenye details za kutosha kuhusu kinachoendelea afrika ya Kati, nashangaa na sijawahi kuona wala kusikia wakristo wanakua wanyama kiasi hiki , ni ukristo gani unao waelekeza kufanya mauaji? by the way hawatakiwi kuitwa wakristo bali ni majini
 
Ya Alcaida, Boko Haram na waislamu wanaoshambulia Kenya kutokea Somalia pia ni Ukristo?????????
 
Wale si wakristo ni wapagani. Wakristo huwa hawavai mahirizi. Wangekuwa ni wakristo basi waislamu wasingekimbilia kujihifadhi kanisani na wakawa salama
 
hapo naanza kupata mwanga, najua wakristo hufundishwa kusamehe na kutolipiza, na nadhani wakristo hawana jihadi, bt why wanaitwa wakristo na why waisilamu wa eneo lile ni wanyonge sana? nkijaribu kuwalinganisha na hapa tanzania kwa mfano kule mwanza kwenye ishu ndogo tu ya kuchinja kuna wakristo waliuwawa
 
Ukristo haupimwi kwa jina ila ni matendo. Mtu anaweza kujiita vyovyote atakavyo lakini kati ya vitu wakristo wanavipiga vita ni mahirizi. Sasa hao jamaa wamevaa mwili mzima utawaitaje wakristo? Hao ni wapagani wakubwa
 
wakuu, napenda kufaham kwa mwenye details za kutosha kuhusu kinachoendelea afrika ya Kati, nashangaa na sijawahi kuona wala kusikia wakristo wanakua wanyama kiasi hiki , ni ukristo gani unao waelekeza kufanya mauaji? by the way hawatakiwi kuitwa wakristo bali ni majini
central-african-republic.jpg
 
wakuu, napenda kufaham kwa mwenye details za kutosha kuhusu kinachoendelea afrika ya Kati, nashangaa na sijawahi kuona wala kusikia wakristo wanakua wanyama kiasi hiki , ni ukristo gani unao waelekeza kufanya mauaji? by the way hawatakiwi kuitwa wakristo bali ni majini
143362427__488657b.jpg
 
muslimschristianskills.jpg
 
Kilichokufanya ukaona kuwa hao ni waislam ni nini? Je, una uhakika na salama yao hapo kanisani? Neno la Bwana Yesu ni kwamba; Adui mpende na amchukiaye ndg ni muuaji wala hakuijua kweli.
Tumwombe Mungu kwani kila jambo lina wakati wake na kusudi lake chini ya jua. Hatulijui kusudi la hili.
 
christian+Somali+beheaded.jpg
 
Kilichokufanya ukaona kuwa hao ni waislam ni nini? Je, una uhakika na salama yao hapo kanisani? Neno la Bwana Yesu ni kwamba; Adui mpende na amchukiaye ndg ni muuaji wala hakuijua kweli.
Tumwombe Mungu kwani kila jambo lina wakati wake na kusudi lake chini ya jua. Hatulijui kusudi la hili.

Muslim men sit inside St. Peter's church where they and hundreds of other Muslims have sought refuge in Boali, Central African Republic, some 50 miles north-west of the capital Bangui. Clashes have erupted between anti-balaka Christians and Seleka militias as thousands of Muslim try to flee the looting of their neighborhoods.
AP Photo

A Christian-Muslim crisis of faith in Africa - CSMonitor.com
 
Wanafanya vibaya, sio ubinadamu kabisa ingawa wanadai walivumilia sana/wakashindwa na sasa wameamua kulipiza kwa ubaya zaidi. Fuatilia chanzo cha mzozo wa huko...seleka (moja ya rebel group) waliegemea Uislamu na wakatesa Wakristo, pia Jeshi la UN lilipoingia mwanzoni ,Chad ilituma majeshi (peace keeping mission) ambao pia waliegemea kwenye Uislamu na kuchochea balaa kubwa zaidi.

Hivyo TZ tuwe makini tuache kuendekeza haya maitikadi waliotuletea wakoloni yatugombanishe
 
Waislam wanatabia ya kuwazoea wakristo vibaya.
Ujue kama binadam uvumilivu ukiwashinda kwa vitendo vya waislam. Bado Nigeria nataman wafanye kama huko Africa ya kati
 
wakuu, napenda kufaham kwa mwenye details za kutosha kuhusu kinachoendelea afrika ya Kati, nashangaa na sijawahi kuona wala kusikia wakristo wanakua wanyama kiasi hiki , ni ukristo gani unao waelekeza kufanya mauaji? by the way hawatakiwi kuitwa wakristo bali ni majini

Dunia haitunzi historia vizuri, kinachotokea kule CAR ni kukipa kisasi na kujilinda baada ya wakristo wengi kuuawa na kikundi kilichokuwa kinaitwa SEREKA. Baadae wale wasio waislam waliunda ANT SEREKA.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom