fukunyungu
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 717
- 195
- Thread starter
- #21
Waislam wanatabia ya kuwazoea wakristo vibaya.
Ujue kama binadam uvumilivu ukiwashinda kwa vitendo vya waislam. Bado Nigeria nataman wafanye kama huko Africa ya kati
Hapana mkuu, Nigeria wanatakiwa kujifunza kwa Nelson Mandela, hapo ndio amani ya kweli itapatikana, jaribu kuangalia ile movie ya long walk to freedom, jamaaa walisamehe yote
