Huu ni ugonjwa sio bure

CHURA ndio tatizo kuu la maisha yangu, hunitoa kabisa kwenye mipango yangu yakimaisha. naweza kuvumilia chochote lakini si mwanamke mwenye chura. Akili yote huvurugika nikaishia kufanya mambo ya ajabu muda mwengine

VYURA vilashanifukuzisha kazi mara 3
VYURA vilishanisababishia kufilisika mtaji wa biashara
VYURA vilishaharibu Serious relationships zangu 3
VYURA vilishagombanisha na rafiki zangu wa 3
VYURA viliyayusha hela yangu yote nilioichuma kwa kupindwa na waarabu kwa miaka mitatu
Na mwisho hivi juzi nimefanya tukio la kifala kabisa sababu kuu ni chura

Hawa wanawake wasingekuwa na hivi vyura dunia ingelikuwa sehemu salama sana kwangu. Pia pengine ningekuwa nakaribia hata kuitwa milionea na mimi.
Alafu akili ikipelekeshwa hivyo hata ukimpata mwenye chura unaishia kukojoa muda mfupi tu unakuwa huna lolote kutwaaa kunywa vitu vya ajabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyura vip kwanza fafanua vizuri au vya Yanga fc

29598232_417888761971072_5763396851723889218_n.jpg
 
Back
Top Bottom