Huu ni ugonjwa sio bure

anasbo

JF-Expert Member
Sep 2, 2017
4,958
8,953
CHURA ndio tatizo kuu la maisha yangu, hunitoa kabisa kwenye mipango yangu yakimaisha. naweza kuvumilia chochote lakini si mwanamke mwenye chura. Akili yote huvurugika nikaishia kufanya mambo ya ajabu muda mwengine

VYURA vilashanifukuzisha kazi mara 3
VYURA vilishanisababishia kufilisika mtaji wa biashara
VYURA vilishaharibu Serious relationships zangu 3
VYURA vilishagombanisha na rafiki zangu wa 3
VYURA viliyayusha hela yangu yote nilioichuma kwa kupindwa na waarabu kwa miaka mitatu
Na mwisho hivi juzi nimefanya tukio la kifala kabisa sababu kuu ni chura

Hawa wanawake wasingekuwa na hivi vyura dunia ingelikuwa sehemu salama sana kwangu. Pia pengine ningekuwa nakaribia hata kuitwa milionea na mimi.
 
Tena Ni Ugonjwa wa akili mwanaume mzima #una zuzuka na vyura hadi kiasi cha kupoteza kazi we ni fala mzee
 
Ili uwe mwanaume unatakiwa uweze kumudu hisia zako we sio mwanaume huna sifa ya uwanaume jifunze kuanzia Leo kumudu hisia zako ndomana wanawake hawana huo moyo

Kila binaadamu ana udhaifu wake
 
CHURA ndio tatizo kuu la maisha yangu, hunitoa kabisa kwenye mipango yangu yakimaisha. naweza kuvumilia chochote lakini si mwanamke mwenye chura. Akili yote huvurugika nikaishia kufanya mambo ya ajabu muda mwengine

VYURA vilashanifukuzisha kazi mara 3
VYURA vilishanisababishia kufilisika mtaji wa biashara
VYURA vilishaharibu Serious relationships zangu 3
VYURA vilishagombanisha na rafiki zangu wa 3
VYURA viliyayusha hela yangu yote nilioichuma kwa kupindwa na waarabu kwa miaka mitatu
Na mwisho hivi juzi nimefanya tukio la kifala kabisa sababu kuu ni chura

Hawa wanawake wasingekuwa na hivi vyura dunia ingelikuwa sehemu salama sana kwangu. Pia pengine ningekuwa nakaribia hata kuitwa milionea na mimi.
Usichukulie poa nyumba ni choo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom