huu ni ugojwa au kunamkono wa mtu?

nashkuru, ye ni muislam na kila mara anavyoanguka huwa wanamsomea dua na anazinduka wakati mwingine huzinduka mwenyewe hata hajasomewa na kumwagiwa maji,kubwa ni pale hata akikuta watu wameenda mazishini na maiti hakuiona, akilia sana anazimia.anatatizo gani huyu na dawa za kizugu ashatumia sana?
Mtafute shekhe amuandikie kombe la

kumsahau mama yake na amfanyie dua ya RuQya kama huyo shekhe anaijuwa kuisoma la kama haijuwi kuisoma mwambie aende Dar kwenye Msikiti wa mtongani kuna Sheikh moja anaitwa Sheikh Kishki ataweza kumsaidia inshallah mpe pole sana.Mkuu ummu kulthum
 
Last edited by a moderator:
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom