Huu ni udini au ushirikina?

Ngekewa

JF-Expert Member
Jul 8, 2008
7,705
1,288
Kwa mujibu wa vyombo vya habari, wakati Rais Kikwete alipoanguka kwenye uzinduzi wa kampeni pale Jangwani, Mchungaji Rwakatare alifanya maombi na wafuasi wake. Kufanya maombi ni sawa lakini hili la kuhusanisha kuanguka na mapepo ya maadui ni maagizo ya dini au ni kuendekeza ushirikina?
 
Swala la maombi wakati mtu ana matatizo ya kiafya (medical) ni kiini maacho. Na iwapo mtu akipata nafuu baada ya kuwa attended na madaktari wake, Watu wafanyao maombi uchukua credit. Mtu kama ana matatizo ya kiafya uenda hospitali na uambatana na dactari siyo mchungaji au sheikh....kama maombi hutibu magonjwa, basi tuinvest kwenye makanisa na misikiti na siyo madactar na hospialini. Je mama Lwakatare akipata ugonjwa wa moyo( siombei Itokee) atakimbilia kanisani au ataenda kutibiwa nje...Tuwe wakweli na tuachane na usanii
 
aaaagh...Lwakatare she is just the Margaret Wanjiru of Tanzania eating from the stupid heads of hunger stricken stomachs Tanzanians
 
asisingizie swaumu...............tanzania nzima anafunga peke yake? mbona hatujasikia watu wengine kuanguka kisa swaumu?

usikute pengine hata hakufunga!
 
asisingizie swaumu...............tanzania nzima anafunga peke yake? mbona hatujasikia watu wengine kuanguka kisa swaumu?

usikute pengine hata hakufunga!

watu ni wagumu kuelewa dadangu,

mimi nashindwa kuelewa ni kwa nini hawa viongozi wanakuwa kama Malaika!, yaani hawaumwi hawa?, ugonjwa unakuwa siri kama nini sijuhi, hakuna kwa swaumu wala mapepo, JK ni Mgonjwa period
 
Kweli kabisa maana kila wakati anadondoka, kama ni mgonjwa watueleze sio kusingizia swaumu, sijui uchovu au usharikina!
 
hatuna rais..........ana afya mbovu....afya ya mgogoro....hafai kuwa rais.....huwezi kuwa na rais anaanguka hovyo na kila wakati...
 
Hee wajameni hapa hakuna udini wala ushirikina Afya mgogoro hapo tusitafute sababu wala visingizio. Tulisema mnachagua mtu mgonjwa hamkuelewa haya sasa anaumbuka mbele za watu oh CHADEMA bado hawajakomaa haya aibu yenu hiyo CCM. Tafuteni watu wazima wakuweza kuhimili vishindo. Mgonjwa huyo wala hakuna cha ushirikina wala udini hapa tuwe wawazi tu
 
hatuna rais..........ana afya mbovu....afya ya mgogoro....hafai kuwa rais.....huwezi kuwa na rais anaanguka hovyo na kila wakati...
..jamaa haka katabia kake ka kuanguka anguka atasababisha anapokuwa kwenye ziara nje nchi wenyeji wawe wanajiandaa na ambulance kabisa wakijua anaweza kula mweleka muda wowote. Huenda vinyamkela vya kwao vinamchanganya dogo anapagawa!!!:confused2::glasses-nerdy::confused2:
 
aaaagh...Lwakatare she is just the Margaret Wanjiru of Tanzania eating from the stupid heads of hunger stricken stomachs Tanzanians
hahaaaa mkuuu,
lwakatare anayeomba Mungu hapana, ila shekhe yahya na majini yes, unajua mimi nina mashaka sana na ninyi,
all most wasoma nyota, waingiao kwenye majumba ya alama ya mwezi na nyota nyie ni washirikina watupu
baya ni lipi kuomba Mungu juu ya ubaya? ama kusoma nyota kuhusianisha na majini?
 
Swala la maombi wakati mtu ana matatizo ya kiafya (medical) ni kiini maacho. Na iwapo mtu akipata nafuu baada ya kuwa attended na madaktari wake, Watu wafanyao maombi uchukua credit. Mtu kama ana matatizo ya kiafya uenda hospitali na uambatana na dactari siyo mchungaji au sheikh....kama maombi hutibu magonjwa, basi tuinvest kwenye makanisa na misikiti na siyo madactar na hospialini. Je mama Lwakatare akipata ugonjwa wa moyo( siombei Itokee) atakimbilia kanisani au ataenda kutibiwa nje...Tuwe wakweli na tuachane na usanii
huwezi kusimulia ukali wa gongo ikiwa hujawahi kuinywa, sasa wewe huo ni mtazamo wako, wako watu wanshindwa kutibiwa na madaktari na wanapone chechi, hicho ulichoogea hapo ndiyo mwisho wa ufahamu wako juu ya maombi yanasaidiaje, so don be ler that, try to show off what you know, and hide what you don know
 
Laiti kama Rwakatare angejua tunajua siri yake na Kanisa lake, Wallah! asingeanza kujipendekeza kirahisi. Nani hajui kwamba ni yeye aliyefanya hivyo?
 
Binadamu ni roho na mwili. Matatizo ya kimwili yanatkiwa kuelekezwa kwa madaktari na matatizo ya kiroho hupaswa kupelekwa kwa viongozi wa dini. Tatizo la kwanza ni mgonjwa au wahudumu wake wasipotofautisha kati ya mahitaji hayo - yaani ujinga. La pili ni baadhi ya wanaotakiwa kuwa viongozi wa dini kuutumia ujinga wa watu kujineemesha.
 
yale yale viwete wanatembea lkni ukimwambia aende muhimbili akawafanye watembee atakuambia mpaka uamini .Je mbona yesu aliwaombea wasio n amani akapona?

Tukiendekeza sana haya mambo ya mashekhe na wachungaji feki kamwe hatuwezi kuendelea
 
Kwa kila tukio lolote lile maombi yetu huenda kwa Mola iwe hata ni kupambana na ushirikina.
 
Back
Top Bottom