Huu ni udhalilishaji mkubwa kwa Dini za Kikristo. Clip Kutoka madhabahu ya GeorDavie

Acheni ufarisayo Lengo la injili ilikua kwa watu kama hao, kanisani ni kwa ajili ya marekebisho
ya roho yaani spiritualy then ukishapokea roho mtakatifu una change automaticaly tatizo ukristo ulivamiwa
na wahuni walio acha kumwamini Mungu na kumtegemea
,bali wanatumia akili zao kutaka kukontrol tabia za watu kitu ambacho hata Yesu mwenyewe hajawahi kujaribu kufanya mwisho wa siku wanaishia kuhubiri sheria (Torati) wanaacha kuhubiri Neema ya Bwana Yesu ambayo inasema kwa kumwamini yeye u na uzima wa milele na kwa kupigwa kwake umepata msamaha wa dhambi
na sio kutokana na matendo yako mema rafiki!

injili imekua corrupted sana baada ya taasisi inayojiita Dini kuundwa na kutokeza madhebu kibao yenye makanisa yake,hapo ndipo utapeli ulipoanzia wakati lengo kuu la ukristo wa mwanzo ni kuitangazia Dunia nzima juu ya Ufalme wa Mungu ulikwisha fika na watu wabadili namna ya kufikiri waamini wao na Mungu ni kitu kimoja yaani wapo ndani ya Mungu na Mungu yupo ndani yao hivyo wana mamlaka Duniani na mbinguni ni swala la kujitambua tu waweze kutenda mambo makuu ya kiungu kama Yesu alivyofanya

maajabu hii siri ipo wazi kimaandiko still watu bado wapo gizani na wanao ijua hawaitendei kazi
huko watu wakiburuzwa na Ibilisi huko makanisani ambako Spiritually ni zero power so sad!
 
Mungu kajenga lini pale, aliyejenga pale ndiye mungu wa pale.
 
Video ya wadada wakiwa wanapita mbele yaa nabii mkuu na mawazi yasio ya heshima na yasiyostahili kwenye madhabahu ya Mungu.

Kuna haja ya kufungia baadhi ya huduma na kuweka vigezo vikali kwa wanaoongoza huduma hizo.

Shetani yupo duniani.

View attachment 2685176
Kwa Wakristo mtu akiwa public speaker na vimaandiko viwili vitatu Tayari Wana muita ni mtumishi wa Mungu . Sasa hivi walio wengi ni Wajanja wanaingia mikataba na Shetani anafungua kanisa anapiga mkwanja, Mmoja wapo ni Huyo Geordev Yaani hilo lijamaa ni booonge la Devil ..,wajinga Ndo waliwao
 
Fake pastors wameudhalilisha Sana ukristo,anzia kina kibwetere,mchungaji wa Zimbabwe aliyejitupa kwenye mto wa namba,mchungaji wa Kenya aliyeuwa waumini wake,akina zumaridi! Na wengine wengi kwakweli dhana ya ukristo imechafuka saaaaaaana,Kama utakuwa mfuatiliaji ndugu yangu Kuna mijadala katika nch nyingi duniani kupiga Vita ukristo na matumizi ya biblia hii yote ni kutokana na kwamba yanayohubiriwa humo siyo Mambo ya mungu Bali ni uhuni ,ujinga,na kila Aina ya uchafu, vimevalishwa koti la ukristo,ninani ataunusuru ukristo,? Wakristo tumekengeuka,fuatilia Israel Sasa Sheria imeenda bungeni kupinga matumizi ya jina yesu,Kenya nao pia wameanza minong'ono ya kuuzuia ukristo,China ndo kabisaa,Nigeria wao wanaua wakristo wanaoeneza ukristo,hapa Tanzania vugu vugu limeanza kudhibiti kelele zinazozalishwa na makanisa usiku kucha,ukristo na wakristo twasujudia mungu yupi? Walioibeba dhamana ya ukristo waanze kuliona hili mapema,tatizo ni wakristo fake wanaangamiza ukristo,angalia Sasa makundi yasiyo amini mungu yanazidi kukua kwa Kasi sababu walioko kwenye ukristo ndo wanafanya uovu na waovu namba moja
 
Video ya wadada wakiwa wanapita mbele yaa nabii mkuu na mawazi yasio ya heshima na yasiyostahili kwenye madhabahu ya Mungu.

Kuna haja ya kufungia baadhi ya huduma na kuweka vigezo vikali kwa wanaoongoza huduma hizo.

Shetani yupo duniani.

View attachment 2685176
Ndio uamini hakuna nabii hapo. Mwenzio anafanya assessment ili ajichagulie demu wa kujilia tu!! Unaruhusuje mambo kama hayo kama unamtumikia Mungu wa Kweli. Halafu GeoDave mwenyewe yupo pembeni, anawaangalia warembo wanavyopita wakijinyonganyonga halafu anatabasamu! Jamaa womanizer tu!!
 
Video ya wadada wakiwa wanapita mbele yaa nabii mkuu na mawazi yasio ya heshima na yasiyostahili kwenye madhabahu ya Mungu.

Kuna haja ya kufungia baadhi ya huduma na kuweka vigezo vikali kwa wanaoongoza huduma hizo.

Shetani yupo duniani.

View attachment 2685176
Mbona kawaida sana.

Nikafikiri watu wanatembea uchi.

Acha watu watimize haki yao ya kikatiba ya kuabudu wanavyotaka, ilimradi hawajavunja sheria za nchi.

Hapo wamevunja sheria gani?

Wewe ni Mtalibani?
 
Fake pastors wameudhalilisha Sana ukristo,anzia kina kibwetere,mchungaji wa Zimbabwe aliyejitupa kwenye mto wa namba,mchungaji wa Kenya aliyeuwa waumini wake,akina zumaridi! Na wengine wengi kwakweli dhana ya ukristo imechafuka saaaaaaana,Kama utakuwa mfuatiliaji ndugu yangu Kuna mijadala katika nch nyingi duniani kupiga Vita ukristo na matumizi ya biblia hii yote ni kutokana na kwamba yanayohubiriwa humo siyo Mambo ya mungu Bali ni uhuni ,ujinga,na kila Aina ya uchafu, vimevalishwa koti la ukristo,ninani ataunusuru ukristo,? Wakristo tumekengeuka,fuatilia Israel Sasa Sheria imeenda bungeni kupinga matumizi ya jina yesu,Kenya nao pia wameanza minong'ono ya kuuzuia ukristo,China ndo kabisaa,Nigeria wao wanaua wakristo wanaoeneza ukristo,hapa Tanzania vugu vugu limeanza kudhibiti kelele zinazozalishwa na makanisa usiku kucha,ukristo na wakristo twasujudia mungu yupi? Walioibeba dhamana ya ukristo waanze kuliona hili mapema,tatizo ni wakristo fake wanaangamiza ukristo,angalia Sasa makundi yasiyo amini mungu yanazidi kukua kwa Kasi sababu walioko kwenye ukristo ndo wanafanya uovu na waovu namba moja
Yote hayo yalitabiriwa.
Huwezi kuvunja/kuzuia unabii na sharti la unabii lazima utimiee.

NB:MUNGU ANAWAJUA WALIO WAKE.

Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
 
Hapo kosa ni nini?
Hujawahi kwenda hapo ukakuta waimbaji wa kwaya wanavyokata viuno kama feni.. Pepe kale akasome.
Hata Yesu huko mbinguni anashangaa kwa sababu ajawahi shuhudia hizo show hata enzi zile pilato.
Mbona enzi za Pilato juzi tu? Enzi za Nuhu huko gharika inaanza Malaya kibao wako bize wanakatikia watu viuno.. kuja kushtuka mlango wa Safina umefungwa.. kumgongea Nuhu anajibu hajafunga mlango yeye. Gharika ilikula vichwa vya malaya wengi sana.
 
Huyu naye ni kuhani wa kuwapeleka watu Mbinguni,kweli wanadamu ni majinga
 
Bango nimeona limeandikwa Chuo Kikuu cha Manabii.
Safi Sana kazi na dawa.
 
Back
Top Bottom