Huu ni muda mwafaka sasa kwa Serikali kuwaajiri Watumishi wote wa umma kwa mkataba maalumu!

Serikali haina pesa ya kuongeza madaraja nani atafanyakazi izo za mikataba kwa bei ya nyanya
 
Na bado ndio mitano inaanza January mosi! Mtalia mmoja baada ya mwingine na bado hamtasikika! Mlipowmbiwa ccm ni shida mkajifanya viziwi na Leo unaongea habari ya choo Cha shule!

Endelea kuunga juhudi!
Yaani hao MATAGA ni kama MALAYER.

Unanunuliwa bia siku moja unaliwa mzigo!!

*Halafu SSM anakuja kukumbushia bia ulizokunywa mwaka juzi na anakula mzigo!

*Yaani unakumbushiwa bia, unaliwa mzigo!

*Unajua kabisa unadanganywa, lakini unatoa uchi.....

*Unatoa uchi sababu nyie ni malayer
 
Nikuulize wewe mtetezi wa ccm uliyedhani utakuwa salama! Narudia kukuambia wewe na wale wote wa aina yako kuwa bado mitano ya kupiga miayo bila kujali ulihusika au la!
Mkuu! Unalazimisha uwaze kinyume na uwezo wa akili zako!!

Kuwa sisiemu hakuninyimi kutoa mawazo kinzani, unamaanisha mtu akiwa Chadema hapaswi kuhoji mkuu?
 
Nafurahi umekuwa wa kwanza kupiga mayowe ilihali uliipigania! Utajiju! Ccm Ina wenyewe acha kubwata!
Mkuu! Nikichokitolea maoni na Wewe unachojaribu kukitolea maoni ni kama samaki na nchi kavu aisee!! Kulikoni mkuu?
 
Serikali haina huo muda wa kuanza kutoa ajira za mkataba, pambana tu na hali yako mkuu..itakachofanya ni kufuatilia utendaji wa hao walioajiriwa ingawaje pana changamoto za kibajeti na maslahi ya hao watumishi ambavyo vinakwamisha utendaji mzuri wa hao watumishi.
 
Mkuu! Unalazimisha uwaze kinyume na uwezo wa akili zako!!

Kuwa sisiemu hakuninyimi kutoa mawazo kinzani, unamaanisha mtu akiwa Chadema hapaswi kuhoji mkuu?
Uliambiwa na wewe ukapuuza na Leo hii ccm inakutesa! Kubalini kubadilisha mboga, siyo kila siku unakula maharage tu!
 
Back
Top Bottom