Moyo wa nchi
Member
- Jun 21, 2023
- 81
- 127
Tatizo la ajira limekuwa kubwa hapa nchini, wenye vyeti vyao wanadhurura mitaani ajira hakuna, hasa ukizingatia na mfumo wetu wa elimu unaomuandaa mhitimu kuajiriwa na serikali na si kujiari.
Hivi kwa mazingira ya sasa kuna ulazima gani wa kuwang'ang'ania watumishi miaka 55 au 60 ndipo wastaafu?
Wanastafu akili zikiwa zimechoka, wakiwa hawana nguvu na mwisho ni kufa wakiwa masikini kabisa, hasa hawa wa kada za chini kama walimu, madaktari na mapolisi.
Kama kungekuwa na utaratibu wa kufanya kazi kwa mikataba nafikiri tungeweza kutatua tatizo la ajira kwa kiwango kikubwa.
Ni hayo tu.