Huu ni mtizamo tu

Huu ni mtizamo tu

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,037
Reaction score
168,676
Serikali ingepunguza bei ya bia kupandisha bei za
vipodozi. Kwanza bia
zinafanya watu waone
wanawake wote ni wazuri...
Vipodozi vina sumu kali yenye kuua haraka ngozi, maini, figo, macho na akili.
Pia vipodozi vinatishia usalama wa ndoa za walio wengi, si unajua tena mke akiolewa anaanza kushindana na hausgel uchafu na kutojipenda?
 
Tuna Gas, Madini ya kila aina,Utalii etc. kuna haja gani ya kurundikia wananchi kodi zote???Sijaona nchi ya mazingaumbwe kama Tanzania
 

khaaaaa we Bujibuji ushindwe
mwanamke kujipodoa,unataka tushindwe
kujiremba kwa bei ya vipodooo kua juu?aakhaaa!!
 
Last edited by a moderator:
Serikali ingepunguza bei ya bia kupandisha bei za
vipodozi. Kwanza bia
zinafanya watu waone
wanawake wote ni wazuri...
Vipodozi vina sumu kali yenye kuua haraka ngozi, maini, figo, macho na akili.
Pia vipodozi vinatishia usalama wa ndoa za walio wengi, si unajua tena mke akiolewa anaanza kushindana na hausgel uchafu na kutojipenda?

Naunga mguu hoja.......
 
yaani wewe unaona bora hizo pombe
zinazowapotosha watu na kuukosa ufalme wa Mungu
kuliko vipodozi nani amekwambia kuwa vipodozi
vinafanya mtu apate magonjwa hayo
au madaktari wanakuchanganya nini wewe,
kwani Mungu alimuumba mtu kwa ubaya au kwa uzuri?
jibu hapa wewe acha kutupotosha hivyo
Serikali ingepunguza bei ya bia kupandisha bei za
vipodozi. Kwanza bia
zinafanya watu waone
wanawake wote ni wazuri...
Vipodozi vina sumu kali yenye kuua haraka ngozi, maini, figo, macho na akili.
Pia vipodozi vinatishia usalama wa ndoa za walio wengi, si unajua tena mke akiolewa anaanza kushindana na hausgel uchafu na kutojipenda?
 
Mkorogo kwa Majaliwa unauzwa bei gani?
Kwanini bei isipande ili muwe na zile sura zenu zinazotambuliwa mbinguni?

hahahaaa!!bahati nzuri mi mkorogo
situmii mungu alishanikoroga aliponiumba
wapandishe bei baadhi ya vipodozi na si vyote bana!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom