Huu ni Mtego au?

Ukiwa unaenda pitia hapa Njombe nikupe zawadi uwapelekee wakwe zangu Rombo.

Kuna msichana nimekuwa naye kwenye mapenzi takribani miezi 5,
Nikaamua kuachana nae baada ya kugundua hakuwa mkweli juu ya maisha yake kiujumla.

Sasa Baada kumwambia tuachane yeye alikubali ila cha kushangaza ananiambia niende kwao Kilimanjaro akanioneshe kwa wazazi wake mana ameshawaambia anampenzi wake yuko Songea ambaye ni mimi. Kwahiyo niende nikazuge hata kwa kukaa siku 1 tuonekane wachumba wakati wenyewe tukijua tumeachana,

Na nikishafanya hvyo na kurudi Songea naye ataondoka hapo kwao.Yuko tayari kutoa nauli ya kwenda na kurudi Songea.
 
Hivi wewe ni mvulana au mwanaume???????umemuacha halafu unataka kurubuniwa uende kufanyiwa mbaya looooh ukienda usisahau mafuta ya KY
 
Inawezekana anataka kuua so kwa ndugu zake ambao wanajua tayari ana mchumba.
Mwambie achukue hata rafiki yako aende naye ila siyo we we.
Akishindwa nipo Manzese anipitie nikajitambulishe yaizhe
ila utakula hapo
 
Kuna msichana nimekuwa naye kwenye mapenzi takribani miezi 5,
Nikaamua kuachana nae baada ya kugundua hakuwa mkweli juu ya maisha yake kiujumla.

Sasa Baada kumwambia tuachane yeye alikubali ila cha kushangaza ananiambia niende kwao Kilimanjaro akanioneshe kwa wazazi wake mana ameshawaambia anampenzi wake yuko Songea ambaye ni mimi. Kwahiyo niende nikazuge hata kwa kukaa siku 1 tuonekane wachumba wakati wenyewe tukijua tumeachana,

Na nikishafanya hvyo na kurudi Songea naye ataondoka hapo kwao.Yuko tayari kutoa nauli ya kwenda na kurudi Songea.
Mkuu naomba ukija uandae Blanket la babu, Bibi, mbuzi dume, ndizi, maziwa na zawad ya mama na baba ...

Karibu sana mkuu, nakungoja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom