Huu ni Mtego au?

Huu ni Mtego au?

Wewe ni dume suruali
Hapana ila kuna kipindi nilimuhaidi nitaenda kwao tatizo ni pesa,wakati uo pesa nilikuwa nayo ila nilishaamua kumuacha so nilikuwa nasubiria muda wa kumtamkia.
 
Inawezekana anataka kuua so kwa ndugu zake ambao wanajua tayari ana mchumba.
Mwambie achukue hata rafiki yako aende naye ila siyo we we.
Akishindwa nipo Manzese anipitie nikajitambulishe yaizhe
 
Na nikishafanya hvyo na kurudi Songea naye ataondoka hapo kwao.Yuko tayari kutoa nauli ya kwenda na kurudi Songea.
acha ufala we dogo...huyo demu ana bwana wake,ukienda wewe kujitambulisha kwao na yeye ataondoka hapo kwao kwenda hukooo...acha ubwege
 
Huyo dada anakupenda kwa dhati sana. Kama mmekaa nae kwa miaka mitatu ndugu yangu kwa nini usiyarekebishe mapungufu yake aliyonayo kuliko uamuzi wa kumuacha? Kama sio mkweli kwa nini msiyaongee hayo mapungufu ili ajirekebishe?. Kwa jinsi ninavyoona huyo m/mke anakupenda sana mpk kufikia hatua ya kukuambia uende kwao hata kuzuga jua kuwa anakuhitaji mnoo katika maisha yake. Mark my words
 
Inawezekana anataka kuua so kwa ndugu zake ambao wanajua tayari ana mchumba.
Mwambie achukue hata rafiki yako aende naye ila siyo we we.
Akishindwa nipo Manzese anipitie nikajitambulishe yaizhe
Ok, nashukuru kwa ushauri wako.
 
Huyo dada anakupenda kwa dhati sana. Kama mmekaa nae kwa miaka mitatu ndugu yangu kwa nini usiyarekebishe mapungufu yake aliyonayo kuliko uamuzi wa kumuacha? Kama sio mkweli kwa nini msiyaongee hayo mapungufu ili ajirekebishe?. Kwa jinsi ninavyoona huyo m/mke anakupenda sana mpk kufikia hatua ya kukuambia uende kwao hata kuzuga jua kuwa anakuhitaji mnoo katika maisha yake. Mark my words
Sio miaka 3 ni miezi 5 kama nilivyoandika.
 
Kuna msichana nimekuwa naye kwenye mapenzi takribani miezi 5,
Nikaamua kuachana nae baada ya kugundua hakuwa mkweli juu ya maisha yake kiujumla.

Sasa Baada kumwambia tuachane yeye alikubali ila cha kushangaza ananiambia niende kwao Kilimanjaro akanioneshe kwa wazazi wake mana ameshawaambia anampenzi wake yuko Songea ambaye ni mimi. Kwahiyo niende nikazuge hata kwa kukaa siku 1 tuonekane wachumba wakati wenyewe tukijua tumeachana,

Na nikishafanya hvyo na kurudi Songea naye ataondoka hapo kwao.Yuko tayari kutoa nauli ya kwenda na kurudi Songea.
Kafanye utalii kama unayo nafasi....kwani kuna tatizo gani hapo...!? Na ukifika huko wewe komaa ukae hata wiki moja...
Siku ya kwanza mgeni....siku ya pili ama ya tatu tembea mwenyewe ujionee mji ama kijiji ila ukiwa na dhamira ya kutafuta MCHEPUKO....
Ukirudi home kimya.....!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom