Thebroker
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,765
- 6,404
Kwenye kilio kuna wali harage, kwenye msiba ni kama unavyo Ona hapoUtofauti wake ni upi mkuu,
Kwenye kilio kuna wali harage, kwenye msiba ni kama unavyo Ona hapoUtofauti wake ni upi mkuu,
Kula nako muhimu tajiri anakula so menyu ya kitajiri. Na pia kama ni watu wenye uwezi ni kawaidaNtakua wa mwisho kuamini kuwa ukiwa na ukwasi basi unakua na ufukara wa hisia
🤣😂😂Kweli unapiga paja la kuku zito kama hilo hata machozi yatatoka kweli,ndio maana huku kwetu tunakokula maharage kwenye misiba uchungu wa kufiwa unakuwa mkali sana...
Unajua maana yaa burial ceremony..