Huu ni mgao wa umeme au mabwawa yamekauka?

Wizara tuache unafiki waziri Sospeter Muhongo akisimamiwa vizuri( Sijui kama Mkuu anaweza lakini kwa jinsi watendaji wanvyo potray sasa hivi)

Huyu msomi wa masuala haya ya energy angetufaa sana hata presentation zake za umeme na vyanzo mbadala tungefaidika nae sema Siasa ina ladha yake ya ubabaishaji.

Mrudisheni Prof Muhongo yuko well planned and result oriented.
 
Back
Top Bottom