Kwa huu mgawo wa umeme unaoendelea ni vyema Biteko ajiuzulu

live on

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
792
1,268
Ukweli ni kwamba viongozi tulionao wanashindwa kuisimamia Tanesco matokeo yake Tanesco wanafanya wanachojisikia.

Ni wiki Sasa Kila ikifika saa 1 jioni huku Chamazi umeme unakatwa maana yake ni kwamba mgao unaendelea bila ya taarifa yoyote ya maana

Nimechukia sana Leo nakaa sebuleni kwangu niangalie mpira umeme unakatika

Au Kuna kitu labda Mimi sielewi.

Maana kipindi Cha Makamba tuliambiwa mgao ni Kwa sababu ya service ya mitambo ambayo Magufuli alikuwa analazimisha ifanye kazi bila ya kupumzika

Biteko nae akasema mgao ni Kwa sababu mabwawa yamekauka

Sasa hu mgao unaoendelea Sasa ni wa nini maana najua Sasa mabwawa yote yamesha jaa

Hi nchi ngumu sana

R,I P Magufuli
 
Ilikuwaje magufuli aliweza hawa wanashindwa kuna kitu sio bure
 
Mtoa mada Mimi naendelea kuwakumbusha popote unaposikia katiba mpya jitokeze na ukasiklize,Leo tu Samia amekwenda Dubai na watu 1000 Kwa uchumi upi,watu wote wanakwenda kufanya nini ,tena hasa watu wa mbagala mpo busy na singeli kifupi ondoa CCM popote walipo.
 
Ilikuwaje magufuli aliweza hawa wanashindwa kuna kitu sio bure
Mkisha kuwa na serikali inayowakumbatia mafisadi lazima Kila kitu kiwe shida Kwa wananchi

Mafisadi wanataka wauze

Solar zao
Majenereta Yao
Gasi zao

Yani shida tupu
 
CC93BDB2-13AC-46CE-92B4-CE0C28949D5D.jpeg
 
Ukweli ni kwamba viongozi tulionao wanashindwa kuisimamia Tanesco matokeo yake Tanesco wanafanya wanachojisikia.

Ni wiki Sasa Kila ikifika saa 1 jioni huku Chamazi umeme unakatwa maana yake ni kwamba mgao unaendelea bila ya taarifa yoyote ya maana

Nimechukia sana Leo nakaa sebuleni kwangu niangalie mpira umeme unakatika

Au Kuna kitu labda Mimi sielewi.

Maana kipindi Cha Makamba tuliambiwa mgao ni Kwa sababu ya service ya mitambo ambayo Magufuli alikuwa analazimisha ifanye kazi bila ya kupumzika

Biteko nae akasema mgao ni Kwa sababu mabwawa yamekauka

Sasa hu mgao unaoendelea Sasa ni wa nini maana najua Sasa mabwawa yote yamesha jaa

Hi nchi ngumu sana

R,I P Magufuli
Ni Temeke yote
 
Wapi huko kuna mgao? Harafu muachage upumbavu wenu.

Problems at specific locations zosifanywe kuwa shida ya Nchi nzima.
 
Kwa kweli Hali ni mbaya sana Kwa mbagala.
Yaani Kwa siku umeme unakatika mpaka mara kumi.
Haieleweki.
Hakuna siku inapita bila mbagala kukatika umeme hasa chamazi/ majimatitu/ kisewe
 
Ukweli ni kwamba viongozi tulionao wanashindwa kuisimamia Tanesco matokeo yake Tanesco wanafanya wanachojisikia.

Ni wiki Sasa Kila ikifika saa 1 jioni huku Chamazi umeme unakatwa maana yake ni kwamba mgao unaendelea bila ya taarifa yoyote ya maana

Nimechukia sana Leo nakaa sebuleni kwangu niangalie mpira umeme unakatika

Au Kuna kitu labda Mimi sielewi.

Maana kipindi Cha Makamba tuliambiwa mgao ni Kwa sababu ya service ya mitambo ambayo Magufuli alikuwa analazimisha ifanye kazi bila ya kupumzika

Biteko nae akasema mgao ni Kwa sababu mabwawa yamekauka

Sasa hu mgao unaoendelea Sasa ni wa nini maana najua Sasa mabwawa yote yamesha jaa

Hi nchi ngumu sana

R,I P Magufuli
Kabisa!
 
Karibu Tanzania ndugu, huku hakunaga kujiuzulu kiongozi kwa kushindwa au kukosea jambo, wezi wanawekwa waza na kamati ya CAG kila mwaka ila hawajawahi hata kuandikiwa au kupigiwa simu ya kuitwa polisi.
Unajua kwanini? Mwizi hawezi kumkamata mwizi mwenzie.
 
Back
Top Bottom