Huu ni mchina,mturuki au mbelgiji?

Huu ni mchina,mturuki au mbelgiji?

Mchina ndio wazuri wanasababisha Watanzania pia wanakuwa wachina kama wao! [emoji125] [emoji125]
 
Tumekuwa taifa la kukandia. Na unaweza ukakuta hivi ndivyo alivyozaliwa na hajafanya cho chote kubadilisha mwili wake. Binti wa Kibantu halisi kuwa na umbo kama hili wala si ajabu. Nyie mnaokandia nyote ni wakamilifu? Inasikitisha!

Na kama ni dadangu naburuza mtu mahakamani kwa sababu naamini kabisa hajaridhia picha yake iwekwe hapa na adhalilishwe hivi. Tuwe na ubinadamu jamani unless kama kuna mtu mwenye uhakika kuwa kajibadilisha umbo lake (japo hata hii siyo guarantee ya kumdhalilisha mtu kwani ni maamuzi yake). Angekuwa public domain kama akina Wema hapo sawa lakini mtu private tu wala si haki!
 
Back
Top Bottom