Jumakidogo
R I P
- Jul 16, 2009
- 1,851
- 417
Kaka yangu Juma, naona umeguswa sana na hii hoja! Ambacho nimekusoma kutoka kwako, inaelekea kuna wakati ulianza kuwaamini hawa jamaa! Sasa naona wamekuchosha kabisa! Mimi sijawahi kuliamini hilo 'gang'!
Ufisadi wa ccm unajulikana hata kwa watoto walipo tumboni mwa mama zetu,Pia kama tuhuma hizi ni pumba tupu Dr.slaa asinge jibu hapa..amekili na bado atakuja kujibu hapa.Tuletee na ufisadi wa CCM, Kikwete, Mkapa na familia zao basi ili tulinganishe ingawa ushahidi wako unaonekana kuwa pumba tupu.
Siasa ya nchi hii bado changa sana, watu mnatafuta ukombozi alafu pia unaleta mada zenye kuleta migongano ACHA KABISA safari ya nchi hii bado ndefu sana, tafadhali usiturudishe nyuma yote uliyoongea inadhihirisha wazi wewe upo kimasalhi zaid. na huyu mtu yupo ndani ya system japo hana taarifa vizuri so anataka kuvuruga watu, lazima CDM mmneshamfahamu hakikisha mnammaliza mapema. ALUTA CONTINUA!
Kweli njaa mbaya,.........kelele zooote hizi kwenye mitandao ni kwa sababu haupo kwenye panel ya ulaji!Ufisadi wa ccm unajulikana hata kwa watoto walipo tumboni mwa mama zetu,Pia kama tuhuma hizi ni pumba tupu Dr.slaa asinge jibu hapa..amekili na bado atakuja kujibu hapa.
So jiulize kama ni pumab inakuwaje Boss wako azijibu na akili kuwa ni kweli? Unanafasi ya kuukomaza ubongo wako uweze kufikiria vizuri zaidi.
[h=3]Mnapoteza muda,watanzania hatudanganyiki kamwe na propaganda zenu CCM,kama kutuibia mali zetu mmetuibia vya kutosha nendeni mkawadanganye wajinga wenzenu
Ni kweli mkuu. Nitaka kupotea njia. Hawa jamaa ni hatari kuliko nyati kicha aliyejeruhiwa. Halafu kwa tuhuma hizi nilitegemea wana CDM wataamka na kukemea ubadhirifu huu. Kumbe nao wanatetea. Hivi viongozi wote wa CDM kuanzia ngazi ya mkoa hadi tawi Nao wakianza kudai haki yao, wakianza kudai malipo, chama si ndo kitakufa hiki?
Kweli njaa mbaya,.........kelele zooote hizi kwenye mitandao ni kwa sababu haupo kwenye panel ya ulaji!
Ningependa kuwashauri vijana tutafute kazi za kufanya na siasa ifuate baada ya kuwajibika katika kazi zetu rasmi. Siasa isigeuzwe ajila.
kama si njaa kinakuwasha nini mpaka ulete propaganda?Kama ni kelele Boss wako Dr.slaa na shemeji yako Josephine wasingekuja hapa kukili ubadhilifu huu..Uzuri hatufahamiani so swla la njaa ni lako wewe.
Dr.slaa naye kaja kupiga kelel hapa?nadhani sababu moja tu inayokupa majibu hayo ni Mahaba juu ya chadema...
Ur too low for me, kwanza mimi sio mwanachama wa CHADEMA, ninafanya shughuli zangu na zinanipatia kipato halali, sasa nakuonea huruma wewe unayetegemea kipato upate kwenye chama cha siasa ili uweze kuendesha maisha yako, poor you!......Kama ni kelele Boss wako Dr.slaa na shemeji yako Josephine wasingekuja hapa kukili ubadhilifu huu..Uzuri hatufahamiani so swla la njaa ni lako wewe.
Dr.slaa naye kaja kupiga kelel hapa?nadhani sababu moja tu inayokupa majibu hayo ni Mahaba juu ya chadema...
Ur too low for me, kwanza mimi sio mwanachama wa CHADEMA, ninafanya shughuli zangu na zinanipatia kipato halali, sasa nakuonea huruma wewe unayetegemea kipato upate kwenye chama cha siasa ili uweze kuendesha maisha yako, poor you!......
Wewe ni mganga njaa tu na hauna lolote na nakuhakikishia bila kutafuta kazi halali ya kufanya uko mbeleni haitokuwa ajabu kwa mtoto wa kiume kuolewa maana wenye pesa wote wameshakuwa Mabasha.
Kweli njaa mbaya,.........kelele zooote hizi kwenye mitandao ni kwa sababu haupo kwenye panel ya ulaji!
Ningependa kuwashauri vijana tutafute kazi za kufanya na siasa ifuate baada ya kuwajibika katika kazi zetu rasmi. Siasa isigeuzwe ajila.
Haki ipi tena inategemea kama umeingia kwenye chama kwa ajili ya nini kama ni pesa itakuwa hivyo kama ni ukombozi ni vinginevyo hata hivyo nikimnukuu jk kwenye sherehe za ccm mara nyingi anAwashauri chama kutafuta njia nyingine za mapato ruzuku haitoshi
Unakubali kwamba Lowasa ni Fisadi? nadhani tuanzie hapa ili mjadala unoge vizuri.Kwa kusema maneno hayo unahalalisha ufisadi kwa viongozi wa chama chako. Ikiwa ni hivyo, basi ufisadi wote tufanye uwe sawa na halali. Hata mimi na wewe kuanzia sasa tuanze ufisadi katika kada tulizopo. Watanzania wote tuwe mafisadi kwa sababu tuliokuwa tukiwategemea kutukomboa wametugeuka nao wamekuwa mafisadi, wakulima nanyi kuweni mafisadi. Kila mtu awe fisadi kwa sababu nyinyi wana CDM mmeuhalalisha ufisadi.