Huu ndo ukweli jaman

Beesmom

JF-Expert Member
May 30, 2016
17,202
28,724
Mambo,

mi ni ke,ukweli wenyewe ni huu KWA MPENZ AU MCHUMBA AU MKE/MUME umpendaye kwa dhati kiharufu fulan cha mwili wake ni kizuri balaa.Hata kama atatoa nguo special zifuliwe hutochoka kuziweka karibu na pua kabla hujazifua.

Daaaa,mapenz haya.
 
HEBU NJOO PM NIKUAMBIE JAMBO
 
Back
Top Bottom